Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

Ataendelea..
Lkn mwendelezo upo kwenye kurudi Tarehe uliyozaliwa..

Hiz number za Bahati/Tatu mzuka,BIKO n.k
 
Usikariri ndugu, inaonekana haya ni maarifa mapya sana kwako.
mm sielewi na sijawahi kuelewa,mm katika maisha yangu karibu kila kitu kikubwa iwe mafanikio,ndoa, lazima iwe either tarehe 11 au tarehe 29.kwenye swala la ajira iwe kuajiriwa ama kuachishwa kazi lazima iwe tar 11 mwezi wa pili au 11 mwezi wa may,na ikifika mwezi wa 10 kila mwaka lazima nisafiri mbali na nyumbani(hili la safari nimelifuatilia zaidi ya miaka 20).na kila mwaka mwezi wa pili lazima nisingiziwe kitu.ni vitu vingi sana lkn sielewi au labda sina elimu ya namba.
 
Utanishtua mkuu nipate somo
 
Siwezi kukupa jibu la moja kwa moja kwa kuwa sijafahamu mzunguko wako wa maisha ni namba ngapi ivyo nashindwa kukupa uchambuzi unaoendana na maarifa ya namba.
 
Siwezi kukupa jibu la moja kwa moja kwa kuwa sijafahamu mzunguko wako wa maisha ni namba ngapi ivyo nashindwa kukupa uchambuzi unaoendana na maarifa ya namba.
mimi tarehe yangu ni 21/9/1983 naomba niujue mwendendo wa mambo yangu kipitia namba..tafadhali kiongozi nisaidie hapo
 
mimi tarehe yangu ni 21/9/1983 naomba niujue mwendendo wa mambo yangu kipitia namba..tafadhali kiongozi nisaidie hapo
Mzunguko wako wa maisha ni namba 6, endelea kufatilia nitatoa maelezo ya kina lakini kwa ufupi

Unatakiwa ujifunze kuyakubali majukumu kwa kuwa Mungu amekujalia uwezo mkubwa wa kusaidia na kufariji wengine pale inapohitajika. Tegemea watu wengi kuja kwako ili kupata msaada na faraja zaidi ya vile unavyofikiri ivyo ni muhimu kuyakubali majukumu na kujifunza namna kusaidia familia, ndugu na marafiki. Ni muhimu kujifunza kujitoa katika urafiki na matendo ya upendo kwa kuwa kile unachopanda ndicho utakachovuna, ni muhimu kutofautisha kati ya kusaidia na kuingilia mambo ya wengine.
 
Mzunguko Wangu wa maisha ni namba 9 .....Hebu nambie ndo inakuwaje hapo
Endelea kufatilia hili nisiharibu mtiririko wa somo ila kwa ufupi

Mtu mwenye mzunguko wa namba 9 lazima ajifunze kujitoa kwa ajili ya wengine bila kuwa na fikra ya kulipwa. Kwa mtu huyu mafanikio uja pale anapojitoa kwa hali na mali kwa ajili ya maslahi mapana ya umma. Lazima uwe mtu wa upendo, kusaidia na kuelewesha pale inapobidi bila matarajio ya kulipwa kutoka kwa unaowasaidia.
 
Vipi kuhusu mafanikio inakuwaje kupitia namba hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…