Wapumbavu Kama wewe wanapaswa kuwajibishwa. Vyombo vya usalama lazima vifuate utaratibu kumkamata mtuhumiwa, watu wanatokea nowhere hawana warranty wanataka kukukamata lazima tukatae uhuniMuulize kama anadindisha? Aliteswa mateso daraja la kwanza
Jamaa anashindwa kukupa Haki yako tendo la ndoa, pole Sana dada.Muulize kama anadindisha? Aliteswa mateso daraja la kwanza
Lazima tuendelee kujikumbusha, tusije kurudia tena makosa.Hivi huwezi kuomba ajengewe sanamu bila kumdhalilisha marehemu?.
Hebu mwacheni huyu baba apumzike!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Hakuna haja ya kuwatafuta maana hawapo!. Jamaa mmoja anaitwa karma, amewashughulikia mmoia baada ya mwingine!.kikundi cha uhalifu (rogue unit). Genge liliitwa watu wasiojulikana, hili
Hiki kikundi kilikuwa kiliongozwa na watu makatiri Sana, watu wenye roho mbaya, maana matendo waliofanyiwa Watanzania wenzetu, yalikuwa ya kutisha Sana. Napendekeza TUWATAFUTE wakabiliane na MKONO WA SHERIA
Pumbavu, biashara za magendo msiludie tena!Mnamo Julai 2018 Peter Zakaria aliwashambulia kwa risasi maafisa usalama wa Taifa kwa kile kinachodaiwa walikuwa kazini. Hawa ndiyo walikuwa wanaitwa WASIOJULIKANA.
Kwa ushujaa aliounyesha kwenye utawala DHALIMU wa Magufuli, napendekeza sisi wapenda amani tumtambue Peter Zakaria kama SHUJAA wa kipindi alichotawala DIKTETA na tumjengee Sanamu lake.
Ila kila nikukumbuka kuwa mke wa huyo katili na watoto wake wanakula pension na marupurupu kibao ya kodi zetu maisha yao yote najisikia hasira.Magufuli alikuwa katiri Sana.
Alimiliki kikundi cha uhalifu ndani ya Ikulu (rogue unit). Genge liliitwa watu wasiojulikana, hili gege lilifanikiwa
-Kumpiga risasi Tundu Lissu
-Kumteka na kumuua Ben Saanane
-kumteka Mo Dewiji
-kumteka Roka Mkatoriki
-kumteka na kumtesa Mdude Nyangali
-Kumteka na kumuua Lwajabe
-Kumteka na kumuua Kanguye
-Kumteka na kumuua Azory Gwanda
-Kumteka Zakaria
-Kumteka Abdul Nondo
-Kumteka Tito Magoti
Hiki kikundi hata Kama kilikuwa kinapata Oda kutoka juu, Ni dhahiri kiliongozwa na watu makatiri Sana, watu wenye roho mbaya, maana matendo waliofanyiwa Watanzania wenzetu, yalikuwa ya kutisha Sana. Napendekeza TUWATAFUTE wakabiliane na MKONO WA SHERIA
Kudindisha na uhai ipi bora?Muulize kama anadindisha? Aliteswa mateso daraja la kwanza
Kuna ops ambazo huzifanya wenyewe.Adam Malima alisema ni Maofisa wa TISS. Lakini kiuhalisia TISS hawaruhusiwi kumkabili mshukiwa Moja kwa moja
Sanamu tutamjengea baada ya kuvutaMnamo Julai 2018 Peter Zakaria aliwashambulia kwa risasi maafisa usalama wa Taifa kwa kile kinachodaiwa walikuwa kazini. Hawa ndiyo walikuwa wanaitwa WASIOJULIKANA.
Kwa ushujaa aliounyesha kwenye utawala DHALIMU wa Magufuli, napendekeza sisi wapenda amani tumtambue Peter Zakaria kama SHUJAA wa kipindi alichotawala DIKTETA na tumjengee Sanamu lake.
Yaani bongo fulu ujinga. Yaani jitu zima linatetea majizi yaliyoiba mali za umma. Halafu wakati huo huo hilo hilo pumbavu Tanzania linalalamika eti huduma mbovu za jamii na kuwalalamikia viongozi wa serikali wezi eti hawafai kuwa viongozi wakati huo huo linatete majizi yaliyoiba zamani yaani hakika bongo kwa kizazi hiki ukiwa kiongozi iba na yakilalamika yaue tu haya mapumbavu matanzania maana hayana akili za kujua umuhimu wa kiongozi muadilifuAngekua shujaa asingezitema mali za chama Cha ushirika Nyanza alizozipata kimagumashi...
Yeye sio dhalimu? Hajawahi kudhulumu mtu?Mnamo Julai 2018 Peter Zakaria aliwashambulia kwa risasi maafisa usalama wa Taifa kwa kile kinachodaiwa walikuwa kazini. Hawa ndiyo walikuwa wanaitwa WASIOJULIKANA.
Kwa ushujaa aliounyesha kwenye utawala DHALIMU wa Magufuli, napendekeza sisi wapenda amani tumtambue Peter Zakaria kama SHUJAA wa kipindi alichotawala DIKTETA na tumjengee Sanamu lake.
kuna hoja mezani. wastaarabu tunakuuliza, umejuaje kuwa sasa hadindishi ilhali wewe ni mtoto wa kiume?. kuna mjumbe mmoja kachomekea swali la nyongeza, anauliza huwa unalalanae?.Muulize kama anadindisha? Aliteswa mateso daraja la kwanza
Yuko motoni hiyo ni 100% hata nawewe unafurahi tu maana pamoja na mapambio yote haya humu huthaminiwi na wanakutreat kama vijana wa "Buku saba" ilihali umri wakupumzika na wajukuu ndo huu 🥲Hivi huwezi kuomba ajengewe sanamu bila kumdhalilisha marehemu?.
Hebu mwacheni huyu baba apumzike!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Anaanzaje kupumzika kwa mfano? Yule ni kuchomwa moto tu kwa kwenda mbele.Hivi huwezi kuomba ajengewe sanamu bila kumdhalilisha marehemu?.
Hebu mwacheni huyu baba apumzike!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Ndahani ulikuwa wapi wakati anaua akina Ben Saanane? Je kumshambulia Lissu sisyo udhalimu? Na hizo fedha alizonyang'anya wafanya biashara na miliki wa Bureaux De Change? Try to be serious hata kama ni Msukuma mwenzioYeye sio dhalimu? Hajawahi kudhulumu mtu?
Tuache kumdhihaki Mwenyezi Mungu
Kuna watu hawajawahi hata kuingia kituo cha Polisi na hawadindishi, sembuse huyu aliyeteswa akiwa mikononi mwa Polisi?
Mimi natambua kitendo cha kupambana na lile kundi dhalimu la WASIOJULIKANA. Kimsingi alituheshimisha sana
Mbona Mimi hata simjui huyu Peter