Tarime, Mara: Mmiliki wa mabasi ya Zacharia awapiga risasi maafisa wa Usalama wa Taifa, ashikiliwa na Polisi

Tarime, Mara: Mmiliki wa mabasi ya Zacharia awapiga risasi maafisa wa Usalama wa Taifa, ashikiliwa na Polisi

kikundi cha uhalifu (rogue unit). Genge liliitwa watu wasiojulikana, hili
Hiki kikundi kilikuwa kiliongozwa na watu makatiri Sana, watu wenye roho mbaya, maana matendo waliofanyiwa Watanzania wenzetu, yalikuwa ya kutisha Sana. Napendekeza TUWATAFUTE wakabiliane na MKONO WA SHERIA
Hakuna haja ya kuwatafuta maana hawapo!. Jamaa mmoja anaitwa karma, amewashughulikia mmoia baada ya mwingine!.
P
 
Mnamo Julai 2018 Peter Zakaria aliwashambulia kwa risasi maafisa usalama wa Taifa kwa kile kinachodaiwa walikuwa kazini. Hawa ndiyo walikuwa wanaitwa WASIOJULIKANA.

Kwa ushujaa aliounyesha kwenye utawala DHALIMU wa Magufuli, napendekeza sisi wapenda amani tumtambue Peter Zakaria kama SHUJAA wa kipindi alichotawala DIKTETA na tumjengee Sanamu lake.
Pumbavu, biashara za magendo msiludie tena!
 
Magufuli alikuwa katiri Sana.
Alimiliki kikundi cha uhalifu ndani ya Ikulu (rogue unit). Genge liliitwa watu wasiojulikana, hili gege lilifanikiwa
-Kumpiga risasi Tundu Lissu
-Kumteka na kumuua Ben Saanane
-kumteka Mo Dewiji
-kumteka Roka Mkatoriki
-kumteka na kumtesa Mdude Nyangali
-Kumteka na kumuua Lwajabe
-Kumteka na kumuua Kanguye
-Kumteka na kumuua Azory Gwanda
-Kumteka Zakaria
-Kumteka Abdul Nondo
-Kumteka Tito Magoti

Hiki kikundi hata Kama kilikuwa kinapata Oda kutoka juu, Ni dhahiri kiliongozwa na watu makatiri Sana, watu wenye roho mbaya, maana matendo waliofanyiwa Watanzania wenzetu, yalikuwa ya kutisha Sana. Napendekeza TUWATAFUTE wakabiliane na MKONO WA SHERIA
Ila kila nikukumbuka kuwa mke wa huyo katili na watoto wake wanakula pension na marupurupu kibao ya kodi zetu maisha yao yote najisikia hasira.
Familia ya watu wa aina hiyo ilipaswa kukiona cha moto katika maisha ikibidi hata kucharazwa bakora kwa makosa ya mume/baba yao ili iwe fundisho kwa wengine wawapo madarakani kutambua kuwa wakitenda ujinga basi wakiondoka kwa kufa basi moto wanawaachia watoto na mke

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mnamo Julai 2018 Peter Zakaria aliwashambulia kwa risasi maafisa usalama wa Taifa kwa kile kinachodaiwa walikuwa kazini. Hawa ndiyo walikuwa wanaitwa WASIOJULIKANA.

Kwa ushujaa aliounyesha kwenye utawala DHALIMU wa Magufuli, napendekeza sisi wapenda amani tumtambue Peter Zakaria kama SHUJAA wa kipindi alichotawala DIKTETA na tumjengee Sanamu lake.
Sanamu tutamjengea baada ya kuvuta
 
Angekua shujaa asingezitema mali za chama Cha ushirika Nyanza alizozipata kimagumashi...
Yaani bongo fulu ujinga. Yaani jitu zima linatetea majizi yaliyoiba mali za umma. Halafu wakati huo huo hilo hilo pumbavu Tanzania linalalamika eti huduma mbovu za jamii na kuwalalamikia viongozi wa serikali wezi eti hawafai kuwa viongozi wakati huo huo linatete majizi yaliyoiba zamani yaani hakika bongo kwa kizazi hiki ukiwa kiongozi iba na yakilalamika yaue tu haya mapumbavu matanzania maana hayana akili za kujua umuhimu wa kiongozi muadilifu
 
Mnamo Julai 2018 Peter Zakaria aliwashambulia kwa risasi maafisa usalama wa Taifa kwa kile kinachodaiwa walikuwa kazini. Hawa ndiyo walikuwa wanaitwa WASIOJULIKANA.

Kwa ushujaa aliounyesha kwenye utawala DHALIMU wa Magufuli, napendekeza sisi wapenda amani tumtambue Peter Zakaria kama SHUJAA wa kipindi alichotawala DIKTETA na tumjengee Sanamu lake.
Yeye sio dhalimu? Hajawahi kudhulumu mtu?
Tuache kumdhihaki Mwenyezi Mungu
 
Back
Top Bottom