Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Kaazi kweli kwei....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hata mimi ndio jambo nililojiuliza tangu lini magari ya serikali yakajaza mafuta ktk vituo binafsi. Maswali ni mengi kuliko majibuHivi
Hivi kwa kawaida magari ya serikali huwa yanajaza mafuta kwenye vituo vya watu binafsi?! Mbona hili sio jambo la kawaida kabisa?!
gari za wasiojulikanika huwa na namba za NISSANI NYEUPE[emoji83] [emoji90] [emoji12] [emoji61]Hivi
Hivi kwa kawaida magari ya serikali huwa yanajaza mafuta kwenye vituo vya watu binafsi?! Mbona hili sio jambo la kawaida kabisa?!
Mi mwenyewe nilikuwa nakosa zile za ufukunyufu nashangaa nchi inataka kuangamiza hili jukwaa lenye habar nyetiUmeona sas mambo ya JF hizi habari zilikosa pakwenda tutayajua mengi sana JF mbalikiwe mmerudi
Mkuu, nnapenda kweli nikuelewe. Ila nimekwama. Nieleweshe.Zacharia....the famous Zacharia.....pande zile anaogopa sana
Mtu yeyote anaweza kamata mhalifu soma CPA then unamkabidhi kwa Polisi ambaye atamkamata tena kisheria. Mayala pia ni mbumbumbu wa sheria mkuu!!Asante paskal sioni kama jamhuri watakuwa na nia ya kuendelea na hii kesi labda utumike ubabe tu.
Mkuu hebu tujirdhisheMtu yeyote anaweza kamata mhalifu soma CPA then unamkabidhi kwa Polisi ambaye atamkamata tena kisheria. Mayala pia ni mbumbumbu wa sheria mkuu!!
Nimesema CPA inampa raia yoyote uwezo wa kumkamata mhalifu yoyote anayefanya kosa mbele yake na kumfikisha kwa Polisi ambaye ata mkamata upya ndivyo sheria inavyosema sasa huyo Zitto anasema umbumbumbu tu. Sheria inayohusiana na ukamataji ni CPA kwa makosa ya Jinai na wala si sheria ya Usalama wa Taifa.