radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Kwa hiyo mkapa alisaini kitu asichokijua? Sheria hiyo imetakataza usalama wa Taifa wasikamate sasa basi kumbe mkapa nae alikuwa mbumbumbu?Nimesema CPA inampa raia yoyote uwezo wa kumkamata mhalifu yoyote anayefanya kosa mbele yake na kumfikisha kwa Polisi ambaye ata mkamata upya ndivyo sheria inavyosema sasa huyo Zitto anasema umbumbumbu tu. Sheria inayohusiana na ukamataji ni CPA kwa makosa ya Jinai na wala si sheria ya Usalama wa Taifa.