Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wazidi kuchukiana na kuuana, IWE HIVYO. Hizo chuki zizidi haswaaaa huko CCM ya Tarime, ikiwezekana mpaka na mikoa mingine, chama KIFE kabisa.Papaa Mobimba,
HALI N TETESANA KAMA NDUGUZETU WA CCM AWATATOA USHIRIKIANO KULETA UMOJA YATAKUJA MENGI SANA UKO MBELENI ZAIDI YA HAYA.......UMOJA WA CCM TARIME AUPO TENA ...HALISIONZURI KABISA NAAMINI KAKAYANGU POLEPOLE AMETOKAMAJUZI NA ANAELEWA NAACHANDIKA HIKI...WARUDISHE UPENDO NA UMOJA WA CCM KAMA ZAMANI HIVISASA ULE UPENDO AUPO UMEGAWANYIKA ROHOZA VISASI ZIMEWAINGIA WATU BILAKUJIJUA
sidhan kama atakusikiliza yule ni jiwe almaarufu malaika mkuu pogbaMkoa wa Mara kwa sasa kuna tatizo kubwa sana hasa hasa wilaya ya Tarime
viongozi wenyewe kwa wenyewe hawaaminiani ila pia wananafikiana
Mwkt Ccm mkoa
Dc Tarime
Mkuu wa Mkoa
Mwkt Ccm wilaya
Mkurugenzi wa Wilaya
hao ni shida ila pia wakati watu tulipokuwa tunasema katiba ilikuwa pia ni kwa maana ya kumpunguzia Rais madaraka
Hawa watu wasiteuliwe tu na Rais coz hapa ndipo shida inapoanza
Rais anateua washikaji zake ama anaamua tu kurudisha fadhila kwa washikaji au ndugu na Jamaa
Ila iwapo tungewapigia kura basi ni rahisi mno kuwaajibisha pindi wakikosea coz amepigiwa kura na wananchi
ila kwa sasa ni hadi msubiri Rais amuajibishe tena sio kwa kumuachisha kazi bali kwa kumhamisha kutoka wilaya hii kwenda wilaya ile au kutoka mkoa huu kwenda mkoa ule
Mtu anatolewa Zanzibar kuja kuwa mkuu wa wilaya ya Tarime
haijui Tarime
hana uchungu na maendeleo ya Tarime coz hapo sio kwake au kwao
huenda hata hana upendo na watu wa hapo
unamtoa mtu mkoa wa Pwani kuja kuwa mkuu wa mkoa
hana chochote cha kupoteza coz hapo sio mother land yake
hapo yupo tu
kiukweli katiba mpya ni suruhisho kwa haya yote
coz hao viongozi pia kuna kipindi walishawahi kusikika wakiwa shida na Peter Zakaria
je kama nao wamehusika au hata mmoja wao tutajuaje?
Rais wetu Magufuri tafadhali kwa vile unasema kuwa upo kwa ajili ya wanyonge basi mzee tuache na katiba mpya hakika Tanzania itakukumbuka daima!
Na utaandika historia ambayo haitakuja kufutika kamwe!
tuepukane na hizi mambo
HAWA NDIO WALE WASIOJULIKANA, WALITAKA WAMSUPPA SAMMY, WAKAKUTA JAMAA YUKO VIZURI ZAIDI YAO. SASA WANAHAHAMkuu. Mnabishana kitu simple sana jApo sijui sheria ila iko hivi
Uko sahihi sheria inamruhusu mtu yoyote kumkamata muhalifu .
Sasa zitto anaongelea sheria ya usalama yaani watu wa usalama wamekatazwa kukamata mtu.ila ww unaweza kumkamata mhalifu as long as haupo kwenye system
Ford pick up nyingi bantam,Ranger na nyinginezo mfuniko wake unafunguliwa na Switch unashangaa nini babu mbona gari nyingi tuu zipo au huku kwenye magari bado una kamba mguuni...Gari ukijaza mafuta unakabidhi funguo?[emoji15] [emoji56]
MAJAMBAZI YAUAWA NA PZ....... HAHAHAAHALaiti kama angekuwa na bunduki kubwa akawamaliza wote watano, sijui habari hii ingesomekaje
WANATEKA KIZEMBE KABISADaah yani hawa Usalama wa Taifa ndiyo wamefika huku kweli ??? Hahahaha we are so screwd, waangalie hata James Bond films basi waone watu wanavyotekana bwana...
Hayo maombi Mkuu yafute.Mkoa wa Mara kwa sasa kuna tatizo kubwa sana hasa hasa wilaya ya Tarime
viongozi wenyewe kwa wenyewe hawaaminiani ila pia wananafikiana
Mwkt Ccm mkoa
Dc Tarime
Mkuu wa Mkoa
Mwkt Ccm wilaya
Mkurugenzi wa Wilaya
hao ni shida ila pia wakati watu tulipokuwa tunasema katiba ilikuwa pia ni kwa maana ya kumpunguzia Rais madaraka
Hawa watu wasiteuliwe tu na Rais coz hapa ndipo shida inapoanza
Rais anateua washikaji zake ama anaamua tu kurudisha fadhila kwa washikaji au ndugu na Jamaa
Ila iwapo tungewapigia kura basi ni rahisi mno kuwaajibisha pindi wakikosea coz amepigiwa kura na wananchi
ila kwa sasa ni hadi msubiri Rais amuajibishe tena sio kwa kumuachisha kazi bali kwa kumhamisha kutoka wilaya hii kwenda wilaya ile au kutoka mkoa huu kwenda mkoa ule
Mtu anatolewa Zanzibar kuja kuwa mkuu wa wilaya ya Tarime
haijui Tarime
hana uchungu na maendeleo ya Tarime coz hapo sio kwake au kwao
huenda hata hana upendo na watu wa hapo
unamtoa mtu mkoa wa Pwani kuja kuwa mkuu wa mkoa
hana chochote cha kupoteza coz hapo sio mother land yake
hapo yupo tu
kiukweli katiba mpya ni suruhisho kwa haya yote
coz hao viongozi pia kuna kipindi walishawahi kusikika wakiwa shida na Peter Zakaria
je kama nao wamehusika au hata mmoja wao tutajuaje?
Rais wetu Magufuri tafadhali kwa vile unasema kuwa upo kwa ajili ya wanyonge basi mzee tuache na katiba mpya hakika Tanzania itakukumbuka daima!
Na utaandika historia ambayo haitakuja kufutika kamwe!
tuepukane na hizi mambo
Kwa kweli JF waliimiss sanaUmeona sas mambo ya JF hizi habari zilikosa pakwenda tutayajua mengi sana JF mbalikiwe mmerudi
hahahhahahahhahahahWatoa habari upande wa sirkale huwa hawajipangi, kutafakari wala kuona ni namna gani wapokea taarifa huzichambua. Yaani ni hobelahobela tu. Eti wanausalama wawili wakashuka kwenye gari lao na kuanza kulikagua. Walikuwa wakilikagua wakiwa na mashaka yepi? Hii habari kwa mtu mwenye fikra itamfikirisha sana. Ujanja wenye kujaa ujinga.
Iko vague sana.Hivi
Hivi kwa kawaida magari ya serikali huwa yanajaza mafuta kwenye vituo vya watu binafsi?! Mbona hili sio jambo la kawaida kabisa?!
[emoji23]Yaani maafisa usalama watano,wanashindwa kumteka mtu ,RAIA mmoja?
Huwa naambiwa wengi wao watokea jeshini,sasa wajeda gani dhaifu kiasi hiki,?haya ndio madhara ya kupeana kazi kimjomba mjomba,
Sasa kama MTU mmoja kawashinda,watawezaje kukamata magenge ya kimafia?
Hiyo ilikuwa kazi ya MTU mmoja tu,