Tarime, Mara: Mmiliki wa mabasi ya Zacharia awapiga risasi maafisa wa Usalama wa Taifa, ashikiliwa na Polisi

Papaa Mobimba,

HALI N TETESANA KAMA NDUGUZETU WA CCM AWATATOA USHIRIKIANO KULETA UMOJA YATAKUJA MENGI SANA UKO MBELENI ZAIDI YA HAYA.......UMOJA WA CCM TARIME AUPO TENA ...HALISIONZURI KABISA NAAMINI KAKAYANGU POLEPOLE AMETOKAMAJUZI NA ANAELEWA NAACHANDIKA HIKI...WARUDISHE UPENDO NA UMOJA WA CCM KAMA ZAMANI HIVISASA ULE UPENDO AUPO UMEGAWANYIKA ROHOZA VISASI ZIMEWAINGIA WATU BILAKUJIJUA
Tena wazidi kuchukiana na kuuana, IWE HIVYO. Hizo chuki zizidi haswaaaa huko CCM ya Tarime, ikiwezekana mpaka na mikoa mingine, chama KIFE kabisa.
 
Mkoa wa Mara kwa sasa kuna tatizo kubwa sana hasa hasa wilaya ya Tarime
viongozi wenyewe kwa wenyewe hawaaminiani ila pia wananafikiana
Mwkt Ccm mkoa
Dc Tarime
Mkuu wa Mkoa
Mwkt Ccm wilaya
Mkurugenzi wa Wilaya

hao ni shida ila pia wakati watu tulipokuwa tunasema katiba ilikuwa pia ni kwa maana ya kumpunguzia Rais madaraka
Hawa watu wasiteuliwe tu na Rais coz hapa ndipo shida inapoanza
Rais anateua washikaji zake ama anaamua tu kurudisha fadhila kwa washikaji au ndugu na Jamaa

Ila iwapo tungewapigia kura basi ni rahisi mno kuwaajibisha pindi wakikosea coz amepigiwa kura na wananchi
ila kwa sasa ni hadi msubiri Rais amuajibishe tena sio kwa kumuachisha kazi bali kwa kumhamisha kutoka wilaya hii kwenda wilaya ile au kutoka mkoa huu kwenda mkoa ule

Mtu anatolewa Zanzibar kuja kuwa mkuu wa wilaya ya Tarime
haijui Tarime
hana uchungu na maendeleo ya Tarime coz hapo sio kwake au kwao
huenda hata hana upendo na watu wa hapo

unamtoa mtu mkoa wa Pwani kuja kuwa mkuu wa mkoa
hana chochote cha kupoteza coz hapo sio mother land yake
hapo yupo tu

kiukweli katiba mpya ni suruhisho kwa haya yote
coz hao viongozi pia kuna kipindi walishawahi kusikika wakiwa shida na Peter Zakaria
je kama nao wamehusika au hata mmoja wao tutajuaje?

Rais wetu Magufuri tafadhali kwa vile unasema kuwa upo kwa ajili ya wanyonge basi mzee tuache na katiba mpya hakika Tanzania itakukumbuka daima!

Na utaandika historia ambayo haitakuja kufutika kamwe!
tuepukane na hizi mambo
 
sidhan kama atakusikiliza yule ni jiwe almaarufu malaika mkuu pogba
 
Mkuu. Mnabishana kitu simple sana jApo sijui sheria ila iko hivi
Uko sahihi sheria inamruhusu mtu yoyote kumkamata muhalifu .
Sasa zitto anaongelea sheria ya usalama yaani watu wa usalama wamekatazwa kukamata mtu.ila ww unaweza kumkamata mhalifu as long as haupo kwenye system
HAWA NDIO WALE WASIOJULIKANA, WALITAKA WAMSUPPA SAMMY, WAKAKUTA JAMAA YUKO VIZURI ZAIDI YAO. SASA WANAHAHA
 
Gari ukijaza mafuta unakabidhi funguo?[emoji15] [emoji56]
Ford pick up nyingi bantam,Ranger na nyinginezo mfuniko wake unafunguliwa na Switch unashangaa nini babu mbona gari nyingi tuu zipo au huku kwenye magari bado una kamba mguuni...
 
Mkoa wa Mara kwa sasa kuna tatizo kubwa sana hasa hasa wilaya ya Tarime
viongozi wenyewe kwa wenyewe hawaaminiani ila pia wananafikiana
Mwkt Ccm mkoa
Dc Tarime
Mkuu wa Mkoa
Mwkt Ccm wilaya
Mkurugenzi wa Wilaya

hao ni shida ila pia wakati watu tulipokuwa tunasema katiba ilikuwa pia ni kwa maana ya kumpunguzia Rais madaraka
Hawa watu wasiteuliwe tu na Rais coz hapa ndipo shida inapoanza
Rais anateua washikaji zake ama anaamua tu kurudisha fadhila kwa washikaji au ndugu na Jamaa

Ila iwapo tungewapigia kura basi ni rahisi mno kuwaajibisha pindi wakikosea coz amepigiwa kura na wananchi
ila kwa sasa ni hadi msubiri Rais amuajibishe tena sio kwa kumuachisha kazi bali kwa kumhamisha kutoka wilaya hii kwenda wilaya ile au kutoka mkoa huu kwenda mkoa ule

Mtu anatolewa Zanzibar kuja kuwa mkuu wa wilaya ya Tarime
haijui Tarime
hana uchungu na maendeleo ya Tarime coz hapo sio kwake au kwao
huenda hata hana upendo na watu wa hapo

unamtoa mtu mkoa wa Pwani kuja kuwa mkuu wa mkoa
hana chochote cha kupoteza coz hapo sio mother land yake
hapo yupo tu

kiukweli katiba mpya ni suruhisho kwa haya yote
coz hao viongozi pia kuna kipindi walishawahi kusikika wakiwa shida na Peter Zakaria
je kama nao wamehusika au hata mmoja wao tutajuaje?

Rais wetu Magufuri tafadhali kwa vile unasema kuwa upo kwa ajili ya wanyonge basi mzee tuache na katiba mpya hakika Tanzania itakukumbuka daima!

Na utaandika historia ambayo haitakuja kufutika kamwe!
tuepukane na hizi mambo
Hayo maombi Mkuu yafute.
 
Hawa watu walichokifanya kwa mzee wa watu sio kitu kizuri kabisa najaribu kuimagine mzee kama peter zakaria anakumbana na sekeseke LA vijana watano tena wenye mafunzo ya kijeshi pamoja na silaha kwa na uzee ule kwa kweli sio fair ata kidogo tuweni na huruma na damu za watu tuwe na moyo wa kiubinadamu kama anakosa adhibitiwe kisheria na sio kwa style hii koz kwa utawala huu naamin hakuna alie juu ya sheria na kama basi hajavunja sheria aachwe afanye yake koz linapokuja swala LA chama yule mzee kasaidia mengi sana msipishane kwa jambo dogo akaonekana wa kazi gani koz jamaa ktk awamu hii kasumbuka sana kuna siku amedodosha machozi kanisan kwa jinsi anavyosakamwa na watesi wake hope viongozi wenye mamlaka kimkoa au kiwilaya wanamchonganisha kwa mkuu wa kaya .busara zaidi zitumike kutatua hili swala
 
Watoa habari upande wa sirkale huwa hawajipangi, kutafakari wala kuona ni namna gani wapokea taarifa huzichambua. Yaani ni hobelahobela tu. Eti wanausalama wawili wakashuka kwenye gari lao na kuanza kulikagua. Walikuwa wakilikagua wakiwa na mashaka yepi? Hii habari kwa mtu mwenye fikra itamfikirisha sana. Ujanja wenye kujaa ujinga.
hahahhahahahhahahah
 
Kwanza nianze kwa kushukuru jamii forum kurudi hewani, pili nishukuru malaika watakatifu kumshinda malaika mkorofi.
Mwisho nashukuru kwani sasa ninajua ni nini kilichotokea kwa huyu mfanya biashara nikitengwa mbali na propaganda ambazo nia yake siku zote sii adilifu.
Nimalize kwa kusema Mungu waponye hao maofisa usalama na pia mlinde Zakaria mfanyabiashara aliyekuwa akitimiza wajibu wa kujilinda asijepotea kijinga.
 
Yaani maafisa usalama watano,wanashindwa kumteka mtu ,RAIA mmoja?
Huwa naambiwa wengi wao watokea jeshini,sasa wajeda gani dhaifu kiasi hiki,?haya ndio madhara ya kupeana kazi kimjomba mjomba,
Sasa kama MTU mmoja kawashinda,watawezaje kukamata magenge ya kimafia?
Hiyo ilikuwa kazi ya MTU mmoja tu,
[emoji23]
 
Back
Top Bottom