Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Sasa oneni wasemacho mashuhuda! Jamani hawa wanasiasa watajenga chuki mbaya kati ya vyombo vyetu vya ulinzi na wananchi bure! Itafika mahali wakionekana wanajulikana kwa ubaya na mob justice inachukua nafasi yake.Hatimae wasiojulikana wamejulikana
Wa declare tuu kuwa hao ni maafisa usalama lakini walienda kutenda uhalifu hivyo serikali haihusiki ndio njia ya kukisafisha