Tarime, Mara: Mmiliki wa mabasi ya Zacharia awapiga risasi maafisa wa Usalama wa Taifa, ashikiliwa na Polisi

Tarime, Mara: Mmiliki wa mabasi ya Zacharia awapiga risasi maafisa wa Usalama wa Taifa, ashikiliwa na Polisi

Nimesema CPA inampa raia yoyote uwezo wa kumkamata mhalifu yoyote anayefanya kosa mbele yake na kumfikisha kwa Polisi ambaye ata mkamata upya ndivyo sheria inavyosema sasa huyo Zitto anasema umbumbumbu tu. Sheria inayohusiana na ukamataji ni CPA kwa makosa ya Jinai na wala si sheria ya Usalama wa Taifa.
Kwa hiyo mkapa alisaini kitu asichokijua? Sheria hiyo imetakataza usalama wa Taifa wasikamate sasa basi kumbe mkapa nae alikuwa mbumbumbu?
 
Yaani leo wa upande wako( pengine fan wako) yamemkuta ndio unatupigia magoti tuungane tuache uvyama pembeni?? Mbona mnapokula keki ya taifa na kutuumiza wapinzani hiyo busara inakuwaga wapi?

Huenda hata huyu Heche nae anakula keki ya Taifa sio mpinzani hii busara inakuwaga wapi?
 
Attachments

  • 36469418_1749021371814170_6788816661735538688_n.jpg
    36469418_1749021371814170_6788816661735538688_n.jpg
    57.4 KB · Views: 53
Ahsante JF kwa kurudi kwa hewa, nitasoma uzi huu kesho maana nimejaribu tu kitu kimekubali
 
Hahaha walipobanwa ndo wakakumbuka wana vitambulisho mfukoni, za mwizi arobaini, ni wakati wa kuamka sasa maana tunaweza kuwa wajinga tukikubali kuisha mmoja mmoja.
 
Nimeshukuru sana JF kurudi hewani. Hakuna siku inapita bila kusoma JF.
 
Nimesema CPA inampa raia yoyote uwezo wa kumkamata mhalifu yoyote anayefanya kosa mbele yake na kumfikisha kwa Polisi ambaye ata mkamata upya ndivyo sheria inavyosema sasa huyo Zitto anasema umbumbumbu tu. Sheria inayohusiana na ukamataji ni CPA kwa makosa ya Jinai na wala si sheria ya Usalama wa Taifa.
usalama sio law enforcement agency
 
Back
Top Bottom