Sasa oneni wasemacho mashuhuda! Jamani hawa wanasiasa watajenga chuki mbaya kati ya vyombo vyetu vya ulinzi na wananchi bure! Itafika mahali wakionekana wanajulikana kwa ubaya na mob justice inachukua nafasi yake.Hatimae wasiojulikana wamejulikana
Kwan serkal inamiliki vituo vya mafuta?Hivi
Hivi kwa kawaida magari ya serikali huwa yanajaza mafuta kwenye vituo vya watu binafsi?! Mbona hili sio jambo la kawaida kabisa?!
Siku zote uongo hujitenga na ukwel ndyo maana wameshindwa kutengeneza movie inayoelwekaIla watoa taarifa wa serikali.... duh aisee rationality yao na jinsi wanavyo establish cause-effect relation utadhani wengine hatujaenda shule![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Magari ya serikali mara nyingi yanawekewa mafuta kule "GPSA" (Bohari)Kwan serkal inamiliki vituo vya mafuta?
Yaani siku hizi TISS sijui wamekuwaje. Mfanyabiashara huyo ambaye hana Intensive Combat Training anawashinda, siku wakikutana na Gaidi ambaye liko drilled in Extreme Combat watapona kweli ???WANATEKA KIZEMBE KABISA
AU HII MISSION IMEFELI KATIKA ZILE 100 WALIUA RAIA
HUENDA JAMAA NAYE ALISHA KUWA ANAWATISS MAPEMA BILA WAO KUJUA.Yaani siku hizi TISS sijui wamekuwaje.
Mfanyabiashara huyo ambaye hana intensive training anawashinda, siku wakikutana na Gaidi ambaye yuko drilled in extreme combat watapona kweli ???
Nanshauri kazi hizi zifanywe tu na Military Intelligence hawa TISS wanazingua sana...Bwahahahaha, eti sisi ni Usalama wa Taifa. Yaani kwa mwendo huu unadhania Mkulu ataacha kutafuta Ulinzi kutoka nje ya nchi kweli ??
Such an embarrassment......
Hata kama bwana...Yani TISS na Ujanja wao woteee wameshikwa pabaya sana na huyu jamaa. Miaka ya Mwinyi na Nyerere walikuwa wakikufuata mzee hata hatukusikii kabisa, yaani tunakuja kupewa taarifa tu kwamba umepotea tu. Lakini siku hizi, hahahahaha kila mtu anajua kuna mkono wa Serikali kabisa.HUENDA JAMAA NAYE ALISHA KUWA ANAWATISS MAPEMA BILA WAO KUJUA.
SIKU ZA NYUMA KUNA PICHA ZILITOKA ZA MMLIKI WA MABASI YA SUPA SAMI, WATU WAMEONA WAWE TAYARI.
Kumbe hua wanauwa watu ki hivo. Ila nadhani hapo issue sio ya kiofisi .au walienda kumpiga biti awape helaHAWA NDIO WALE WASIOJULIKANA, WALITAKA WAMSUPPA SAMMY, WAKAKUTA JAMAA YUKO VIZURI ZAIDI YAO. SASA WANAHAHA
Pale Dodoma kuna kituo cha mafuta cha serikali. Ukimaliza shule ya st Gaspar upande wa kushoto kama unaelekea DarSerikali haina kituo cha mfuta ndugu, kwa hili, jaribu kuongeza uwelewa kdg.
Hiyo nayo ioneniView attachment 800180
Gari ukijaza mafuta unakabidhi funguo?[emoji15] [emoji56]
Natamani siku hiyo niwepo Kwenye Jopo la mawakili wasomi ambao watapambana na mawakili wa serikali.huu msala utakuwa mtamu sana ukifika mahakamani hasa ile sehemu ya cross examination. Kuna maswali mtu anabaki bubu tu
Eti walishuka kukagua gari,then bw zakaria akaanza kuwarushia risasi,yaani mtu mzima na akili zake anatudanganya hivi hivi mbele ya camera jamani!!?Hivi
Hivi kwa kawaida magari ya serikali huwa yanajaza mafuta kwenye vituo vya watu binafsi?! Mbona hili sio jambo la kawaida kabisa?!
Kwa ninyi wa Dar na miji mingine mikubwa mna bohari za GPSA. Huku wilayani hayo mambo hakuna. Gari za serikali zinajaza mafuta katika vituo binafsi, kwa makubaliano maalu ya kutumia vocha ama vitabu, then malipo baadae!Magari ya serikali mara nyingi yanawekewa mafuta kule "GPSA" (Bohari)