SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Huyo atakuwa Mhutu kama yule dhalim aliyeko jehanamPaulsylvester nenda japo kasome QT Ili uandike Kiswahili kizuri mbumbumbu mkubwa wewe. Msiludie siyo Kiswahili bali Msirudie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo atakuwa Mhutu kama yule dhalim aliyeko jehanamPaulsylvester nenda japo kasome QT Ili uandike Kiswahili kizuri mbumbumbu mkubwa wewe. Msiludie siyo Kiswahili bali Msirudie
Ajengewe sanamu gani Peter zakaria. zakaria ni huyu tajiri aliyewatesa watu wa Tarime Kwa kuwaua ,aliyewadhulumu wa Mali zao mchana kweupe, aliyewasingizia watu kesi na kuwaweka kolokoloni.zakaria huyu aliyewahi kuwachapa viboko abiria waliokataa kushuka kwenye Busi lake baada ya kukatisha safari ghafla instead ya kuwafikisha sirari akalazimisha waishie Tarime mjini , zakaria huyu mkepa kodi na mfanyabiashara ya magendo, Zakaria huyu aliyepora na kujipatia Mali na majumba na ya chama cha ushirika cha Nyanza Jijini mwanza , zakaria huyu mwana CCM kindakindaki anayetumia jina mwamvuli wa chama kujinufaisha kiuchumi etc. Sanamu inajengewa watu kama Peter zakariaMnamo Julai 2018 Peter Zakaria aliwashambulia kwa risasi maafisa usalama wa Taifa kwa kile kinachodaiwa walikuwa kazini. Hawa ndiyo walikuwa wanaitwa WASIOJULIKANA.
Kwa ushujaa aliounyesha kwenye utawala DHALIMU wa Magufuli, napendekeza sisi wapenda amani tumtambue Peter Zakaria kama SHUJAA wa kipindi alichotawala DIKTETA na tumjengee Sanamu lake.
Unachekelea mateso aliyopewa na wajomba zako katiri.Muulize kama anadindisha? Aliteswa mateso daraja la kwanza
Mkuu ukienda kwenye maandiko matakatifu matendo yamtu wa hovyo yalikuwa yanaweza kumpa laana hadi kizazi cha tatu hadi cha nneSema tu uovu wa baba haumpati mtoto, ila ilitakiwa waombe radhi kwa niaba ya baba yao kwa matendo yake.
Una maana gani kusema ya kuwa karma imewashughulikia? Je na wao wapo na baba yao kuzimu?Hakuna haja ya kuwatafuta maana hawapo!. Jamaa mmoja anaitwa karma, amewashughulikia mmoia baada ya mwingine!.
P
HAMZA pia
Mkuu Pascal, ni vigumu kumsahau na kumuacha aende/apumzike wakati damu za watu zilijaa mikononi mwake. Hata binadamu wenzie wasipomsema ARDHI iliyommeza itamtapika.Hivi huwezi kuomba ajengewe sanamu bila kumdhalilisha marehemu?.
Hebu mwacheni huyu baba apumzike!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Wa kumtesa we.nyewe wako wapi? Hawa hawa waliopelekewa moto na kijana Hamza wakafa kama kumbi kumbi?Muulize kama anadindisha? Aliteswa mateso daraja la kwanza
Mwisho wa kunukuuLeo Jumamosi Juni 30, 2018 Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima ametoa ufafanuzi kuhusu tajiri huyo ambaye ni mmiliki wa kampuni ya mabasi ya Zakaria kuwa hajatwekwa.
Mimi nilifurahi alipowashughulikia wale watu wasiojulikana. Akawakomesha na kuwatia vilema.
Wajinga tu ndiyo humuabudu Magufuli. Ila werevu wanajuwa kuwa alikuwa Mwizi, mwongo, mtekaji na muuaji. Hayo mandege na miradi aliyafanya kwa msukumo wa rushwa. Ndege zenyewe kumbe zina engines mbovuHii mada Ben Saanane ameingiaje?
weee!!!!!Ila kawaacha vilema wale watu wasiojulikana.
Alokwambia kwamba Mimi naandika na kuhaliri ni Nani?Paulsylvester nenda japo kasome QT Ili uandike Kiswahili kizuri mbumbumbu mkubwa wewe. Msiludie siyo Kiswahili bali Msirudie
Sio wanaomwabudu Zachariah ndio wajinga?Wajinga tu ndiyo humuabudu Magufuli. Ila werevu wanajuwa kuwa alikuwa Mwizi, mwongo, mtekaji na muuaji. Hayo mandege na miradi aliyafanya kwa msukumo wa rushwa. Ndege zenyewe kumbe zina engines mbovu
Kudindisha nini babu yule !!Muulize kama anadindisha? Aliteswa mateso daraja la kwanza
Hitler anazungumzwa na wajerumani hawakasiriki. Sembuse waTz !!Hivi huwezi kuomba ajengewe sanamu bila kumdhalilisha marehemu?.
Hebu mwacheni huyu baba apumzike!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P