Tarime Mjini nako moto unaendelea

Ndio nashangaa jinsi bado watu wanakusanyika dhidi yake. kwa majigambo yooote sikutarajia bado majimboni huko chadema bado inawika kiasi hiki
Hyo mikutano kila chama kifanye, kisha wananchi wenye nchi wataamua nani awatumikie.masuala ya kutegemea mbeleko toka tume Na polis ni aibu
 
CHADEMA IPO ILIKUEPO NA ITAENDELEA KUWEPO! ✌🏾✌🏾✌🏾💪🏾💪🏾💪🏾

CHADEMA NI MSINGI WA DEMOKRASIA NA MAENDELEO YA KWELI TANZANIA.

MUNGU IBARIKI CHADEMA🙏🏾
 
Hakuna maendeleo yoyote yaliyoletwa na hii serikali zaidi ya kujisifu watu wamechoka sana awamu hii
 
Chadema itaenda weeeeeeeeeee,ila ikifika dakika ya tisini anakuja mtu anashambulia goli kilaini kabisa,tatizo kipa huwa anasahau kudaka anabaki kushangaa uzufri wa uwanja na kusikiliza kelel za mashabiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…