Jesuitdon
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 3,153
- 2,673
mKuwasimamia wananchi njiani na mitutu ya bunduki ni sawa na bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mKuwasimamia wananchi njiani na mitutu ya bunduki ni sawa na bure
Hyo mikutano kila chama kifanye, kisha wananchi wenye nchi wataamua nani awatumikie.masuala ya kutegemea mbeleko toka tume Na polis ni aibuNdio nashangaa jinsi bado watu wanakusanyika dhidi yake. kwa majigambo yooote sikutarajia bado majimboni huko chadema bado inawika kiasi hiki
CHADEMA = CANCER YA DAMU ? 😱View attachment 1311600
View attachment 1311601
Chadema sasa inashambulia kama kansa ya damu inavyoshambulia wahanga
Hakuna maendeleo yoyote yaliyoletwa na hii serikali zaidi ya kujisifu watu wamechoka sana awamu hiiMara nyingi ukizuia kitu fulani, unajenga hali ya watu kukitamani. Utaona watu watakavyokuwa wakifuruka kwenye mikitano ya CHADEMA. Watajaa kwa kuamini watasikia mambo mapya ambayo wamenyimwa kuyasikia kwa miaka 4.
Mikutano ya CCM itadoda kwa sababu watu wamekuwa wanawasikia wakati wote. Wanajua hakuna jipya watakalolisikia.
Wananchi watataka kupata maoni yoka kwa wapinzani juu ya ypte ambayo CCM imekuwa ikiwaambia jwa miaka 4.
CCM watakuwa na nini cha kuwaambia watanzania ili kuwapa hamasa mpya, zaidi ya reli, bwawa la umeme, ndege, vipande vya barabara za kwenye miji, ujenzi wa masoko na stand? Siyo kwamba mambo hayo ni madogo ila walikwishayasikia mara nyingi. Hulka ya binadamu ni kupenda kusikia mambo mapya.
Hulka ya binadamu, ni kutafuta anachokikosa. Kwa sasa, Watanzania wanachokikosa zaidi ya kitu chochote, ni uhuru na demokrasia yao. Serikali ifanye vyote lakini ikawanyima wananchi uhuru wao, wakati wote itashuhudia kukosa uungwaji mkono wa wananchi walio wengi.
Maputo pale Wareno walikaa zaidi ya miaka 500. Walitengeneza kila kitu, lakini wananchi hawakuyaona hayo yote. Waliingia kwenye mapigano na kuharibu hata vilivyokuwa vimetengenezwa ili kuwa na maamuzi juu ya maisha.
Chadema tuna nguvu sana hadi nashangaaView attachment 1311600
View attachment 1311601
Chadema sasa inashambulia kama kansa ya damu inavyoshambulia wahanga
Duuh uktoba ni nini? Alafu tutarajie miujizaMazishi ya Chadema uktoba mwaka huu
Hilo swali nikuulize wewe.
Kwangu Mimi Chadema haiwezi kuwa popular Mana hawana democrasia.Officially itakuwa chama kimoja (kwa hilo nakubaliana nawe110%) ila kuiua CHADEMA na genuine opposition is IMPOSSIBLE. Anachofanya Magufuli ni kuifanya CHADEMA iwe more popular.
Huyu binti namkubali kisawa sawa! Go On With One CHADEMA (GOWOCHA) Mwanahabari HuruView attachment 1311600
View attachment 1311601
Chadema sasa inashambulia kama kansa ya damu inavyoshambulia wahanga
Sawa mkuu
IMEWAUMA SANA, HAMKUJUA KATIKA ENZI HIZI ZA JIWE HATOKI MTU. NDIYO MAANA WAKUJA HAWAKUCHAGULIWA LABDA ALIYEAMINIWA NA ROHO MTAKATIFU KAMA NYARANDU Erythrocyte
Mpaka kuwe na fair competition miongoni mwa wanao gombea uenyekiti wa chama. Sio kama sasa .Ni maoni yako na inategemea kwako demokrasia ina maana gani.