LGE2024 Tarime: Mke aliyepotea miaka 3 akutwa ameandikishwa kupiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ila CCM buana wanatufanya hatuna akili
Kweli kabisa hunà àkili, tume wamekujà kuboresha daftari la wapiga kura wewe unatakiwa kuwaeleza náni kàfà ili wamfute kwenye orodha Sasa hunà akili unàlalamika nini?
 
Wewe ni kilaza wa kiwango cha juu sana.
Hili sio daftari linaloboreshwa kilaza wewe.
Hili ni daftari la wakaazi waliojiandikisha kipindi hiki,yaani walio hai kuanzia tarehe 11 mwezi wa 11 mwaka 2024 mpaka tarehe 20 mwezi wa 11 mwaka 2024, sio wa mwaka 2019 au kabla au baada.
 
Sasa anaetakiwa kutoa taarifa za yeye kufutwa ni Tume? Yeye Yuko kwenye daftari alishajiandikisha sasa ndugu zake wanatakiwa wakatoe taarifa afutwe na kama hawajatoa taarifa hawezi futwa! Kufutwa na kutokufutwa hakufanyiki kiholela kunafanyika Kwa kufuata taratibu
Umriba elimu yako pliz.
Fichapo kaujinga
Daftari ni jipya
 
Ndugu Mchengerwa ni muislam, uislamu unaongeleaje masuala haya?

FaizaFoxy karibu 🙏

Ikiwa wakati wa Nyerere tulipiga kura na wagombea maruhani, vipi mshangae wapiga kura maruhani?

Nyerere alikuwa Muislam?

Au una chuki tu na Uislam ikabidi uutaje?
 
Sasa anaetakiwa kutoa taarifa za yeye kufutwa ni Tume? Yeye Yuko kwenye daftari alishajiandikisha sasa ndugu zake wanatakiwa wakatoe taarifa afutwe na kama hawajatoa taarifa hawezi futwa! Kufutwa na kutokufutwa hakufanyiki kiholela kunafanyika Kwa kufuata taratibu
Kama marehemu mmoja kaandikishwa Tarime, unahisi ni wangapi wamefufuka na kujiandikisha nchi nzima?
 
Tatizo ni ideals za ccm... Hata wewe hapo tayari huna tofauti na wao!

Tanzania hii anapigwa mtu nondo ya kichwa, akianguka ndiyo anasachiwa kama ana kitu mifukoni.
. Kwa maana hiyo, nani atakubali umtowe tonge mdomoni kiulaini?

"Tunakaba mpaka penalti".
 
Unaongea ujinga! Ina maana hujui kama kuna kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa? Hilo unalosema daftari la wapiga kura ni tofauti na hili linaloongelewa hapa!
Sasa anaetakiwa kutoa taarifa za yeye kufutwa ni Tume? Yeye Yuko kwenye daftari alishajiandikisha sasa ndugu zake wanatakiwa wakatoe taarifa afutwe na kama hawajatoa taarifa hawezi futwa! Kufutwa na kutokufutwa hakufanyiki kiholela kunafanyika Kwa kufuata taratibu
 
Kweli kabisa hunà àkili, tume wamekujà kuboresha daftari la wapiga kura wewe unatakiwa kuwaeleza náni kàfà ili wamfute kwenye orodha Sasa hunà akili unàlalamika nini?
Makubwa! Una uhakika kuna swali la kipumbavu kama hilo liliulizwa? Marehemu wafufuke waende kuomba taarifa zao ziondoshwe kwa kuwa wameshakufa??
 
Unaongea ujinga! Ina maana hujui kama kuna kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa? Hilo unalosema daftari la wapiga kura ni tofauti na hili linaloongelewa hapa!
Sasa kama naongea na daftari lipo naongeaje ujinga? Msiwe mnalalamikia humu mtandaoni mkifika mtaani hamna action yoyote mnafanya? HAO marehemu wakati wanaandikishwa vyama havikupeleka wawakilishi wao?
 
Kama marehemu mmoja kaandikishwa Tarime, unahisi ni wangapi wamefufuka na kujiandikisha nchi nzima?
Kwani vyama haviruhusiwi kupeleka wawakilishi wao? Au wanakataa Ila yakitokea madudu wanalalamikia kwenye keyboard
 
Huyu ssh ameharibu sana huu uchaguzi haijawahi kutokea.
 
Sasa anaetakiwa kutoa taarifa za yeye kufutwa ni Tume? Yeye Yuko kwenye daftari alishajiandikisha sasa ndugu zake wanatakiwa wakatoe taarifa afutwe na kama hawajatoa taarifa hawezi futwa! Kufutwa na kutokufutwa hakufanyiki kiholela kunafanyika Kwa kufuata taratibu
Hapo nadhani ni daftari la mkazi ambalo lilisimamiwa na wasimamizi wasaidi wa vijiji na kata.
Hapo itakuwa walipoona uandikishaji upo chini walianza chomeka chomeka wengine ila la msingi aliyeandikishwa ni mkazi wa kitongoji husika
 
Mwenge Chacha Ghati, mkazi wa wilayani Tarime akielezea kushangazwa kwake baada ya kukuta jina la mke wake kwenye daftari la wapiga kura wakati amepotea miaka mitatu iliyopita

Pia soma: LGE2024 - Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024
Nchi yetu inapitia changamoto sana katika uongozi wa serikali hii. Kama mungu unasikiliza wananchi basi yapukutishe yote majizi na matapeli kabla ya uchaguzi mkuu.
 
Hapo nadhani ni daftari la mkazi ambalo lilisimamiwa na wasimamizi wasaidi wa vijiji na kata.
Hapo itakuwa walipoona uandikishaji upo chini walianza chomeka chomeka wengine ila la msingi aliyeandikishwa ni mkazi wa kitongoji husika
Sasa maana ya wao kuwa wawakilishi ni nini? Wanasiasa wanatuharibia nchi
 
Back
Top Bottom