LGE2024 Tarime: Mke aliyepotea miaka 3 akutwa ameandikishwa kupiga kura

LGE2024 Tarime: Mke aliyepotea miaka 3 akutwa ameandikishwa kupiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Umekiona cheti chake cha kifo yaani death certificate? Na pamoja na death certificate umeona kaburi lake alipozikwa Kama ushahidi ? Viambatanishe hapa

Kama huna acha umbeya bwege wewe
Bora ubwege kuliko uchawa! Chawa anapatikana kwenye uchafu!
 
Sasa imekuwa fasheni kuiba kura, kunajisi uchaguzi, kuongeza majina, kwanini mbona hayakuwpo haya zamani.
 
Wakurugenzi wote nchi nzima wamefanya hayo madudu Kwa maagizo ya mchengerwa ,walimu,watendaji vijiji na kata zambi zenu zinaendelea
 
Ikiwa wakati wa Nyerere tulipiga kura na wagombea maruhani, vipi mshangae wapiga kura maruhani?

Nyerere alikuwa Muislam?

Au una chuki tu na Uislam ikabidi uutaje?
Hoja ni kwamba Dini ya Kiisilamu haitaki dhuruma na udanganyifu. Mchengerwa kama ni Muisilamu kwa nini anaubariki utapeli huu? Kwa hiyo Mgalatia ikikosea na wewe Muisilamu unahalalisha upuuzi kwa makosa ya Mgalatia???
 
Sasa anaetakiwa kutoa taarifa za yeye kufutwa ni Tume? Yeye Yuko kwenye daftari alishajiandikisha sasa ndugu zake wanatakiwa wakatoe taarifa afutwe na kama hawajatoa taarifa hawezi futwa! Kufutwa na kutokufutwa hakufanyiki kiholela kunafanyika q¹aKwa kufuata taratibu
Hujaelewa kitu wewe
Lile daftari mpaka uende mwenyewe ukaripoti ndio uandikwee
 
Hoja ni kwamba Dini ya Kiisilamu haitaki dhuruma na udanganyifu. Mchengerwa kama ni Muisilamu kwa nini anaubariki utapeli huu? Kwa hiyo Mgalatia ikikosea na wewe Muisilamu unahalalisha upuuzi kwa makosa ya Mgalatia???
nani alikwambia serikali isiyo na dini inaendeshwa kiislam?
 
Uchaguzi wa serikali za mitaa huandaliwa kila mwaka wa uchaguzi sio sawa na la uchaguzi mkuu ambalo huboreshwa!!

Anayesema taarifa za huyu mke aliyeibuka zitolewe ili afutwe kwenye daftari hajielewi na hajui kuwa hizo taarifa huandaliwa wakati wa uchaguzi tu, uchaguzi ukipita hazitumiki tena
 
Back
Top Bottom