LGE2024 Tarime: Mke aliyepotea miaka 3 akutwa ameandikishwa kupiga kura

LGE2024 Tarime: Mke aliyepotea miaka 3 akutwa ameandikishwa kupiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ujinga wenu WA kulalamikia jamiiforums mkiambiwa wekeni wawakilishi mnakalia propaganda Tu mtandaoni huku
Mwakilishi wa nini,sijawahi kupiga kura tangu uchaguzi wa 2005,ila vituko kama hivi ni vichekesho
 
Sasa anaetakiwa kutoa taarifa za yeye kufutwa ni Tume? Yeye Yuko kwenye daftari alishajiandikisha sasa ndugu zake wanatakiwa wakatoe taarifa afutwe na kama hawajatoa taarifa hawezi futwa! Kufutwa na kutokufutwa hakufanyiki kiholela kunafanyika Kwa kufuata taratibu
Tumia akili ...umejuaje kuwa siyo kujiandikisha kwa hivi majuzi
 
Sasa anaetakiwa kutoa taarifa za yeye kufutwa ni Tume? Yeye Yuko kwenye daftari alishajiandikisha sasa ndugu zake wanatakiwa wakatoe taarifa afutwe na kama hawajatoa taarifa hawezi futwa! Kufutwa na kutokufutwa hakufanyiki kiholela kunafanyika Kwa kufuata taratibu
Eti na huyu naye ni great thinker, kumbe kuna vilaza wa kutosha humu if.
 
Ikiwa wakati wa Nyerere tulipiga kura na wagombea maruhani, vipi mshangae wapiga kura maruhani?

Nyerere alikuwa Muislam?

Au una chuki tu na Uislam ikabidi uutaje?
Kwamba Ukiwa siasani uislamu unaweka pembeni,

Hila na wizi wa kura unaendelea sio!!
 
Kwamba Ukiwa siasani uislamu unaweka pembeni,

Hila na wizi wa kura unaendelea sio!!
Nani umtowe tonge mdomoni?

Ajaribu kwa Mbowe uione kazi, haufiki hata hatua za kura.

Wangwe yuko wapi?

Zitto yuko wapi?

Mkumbo yuko Wapi?

Lissu hajambo?
 
Nani umtowe tonge mdomoni?

Ajaribu kwa Mbowe uione kazi, haufiki hata hatua za kura.

Wangwe yuko wapi?

Zitto yuko wapi?

Mkumbo yuko Wapi?

Lissu hajambo?
Lissu hajambo, na ndiye muislam Kweli Kweli sababu anasimama katika Kweli na HAKI,

Si Hawa kina Mchengerwa.
 
Hilo daftari la uchaguzi wa serikali za mitaa watu si wameandikishwa juzi tu hapo? Au huyo mtu aliibuka akaenda kujiandikisha na baadaye kutoweka tena?
Hilo swali sio kazi ya mwandikishaji kujibu mambo yao kama mke alitoweka anaishi na Mwanaume mwingine lakini kujiandikisha kajitokeza

Mkeo akihama nyumbani miaka unaenda kumtafuta kituo cha kuandikusha wapiga kura?

Kwa taarifa yako na kura atapiga vizuri na hamumfanyi chochote

Akitaka kurudi kwa huyo anayejiita mume atarudi kwa wakati wake akitaka

Hamuwezi mnyanyasa akose haki yake ya kupiga kura wakati walishaachana na mumewe
 
Atafute mume mwenzie
Huyo kawekwa sehemuu
Sahihi

Yeye kashindwa kazi za kuwa mume anaenda kufokea waandikishaji wamrudishie mkewe au walionyeshe alipo

Dume jinga sana hilo
 
Hilo swali sio kazi ya mwandikishaji kujibu mambo yao kama mke alitoweka anaishi na Mwanaume mwingine lakini kujiandikisha kajitokeza

Mkeo akihama nyumbani miaka unaenda kumtafuta kituo cha kuandikusha wapiga kura?

Kwa taarifa yako na kura atapiga vizuri na hamumfanyi chochote

Akitaka kurudi kwa huyo anayejiita mume atarudi kwa wakati wake akitaka

Hamuwezi mnyanyasa akose haki yake ya kupiga kura wakati walishaachana na mumewe
Hiyo hamumfanyi chochote umesikia mie nakaa tarime! Mie sikai huko na wala sina mpango na hizo kura zenyewe nyie mnaofikiri mtaishi milele katika dunia hii angaikeni tu na hizo kura za wizi mpate madaraka muitwe waheshimiwa muwe na maisha mazuri kwa kula dhuluma,hata yule mbwa wenu anayejifanya mtu Rahim aendelee tu na maigizo yake na kwa msaada wa huyo shetani anayemtumikia atapata hayo madaraka na utukufu anaoutaka.
 
Kama marehemu mmoja kaandikishwa Tarime, unahisi ni wangapi wamefufuka na kujiandikisha nchi nzima?
Umekiona cheti chake cha kifo yaani death certificate? Na pamoja na death certificate umeona kaburi lake alipozikwa Kama ushahidi ? Viambatanishe hapa

Kama huna acha umbeya bwege wewe
 
Back
Top Bottom