Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kweli kabisa hunà àkili, tume wamekujà kuboresha daftari la wapiga kura wewe unatakiwa kuwaeleza náni kàfà ili wamfute kwenye orodha Sasa hunà akili unàlalamika nini?Ila CCM buana wanatufanya hatuna akili
Wewe ni kilaza wa kiwango cha juu sana.Kweli kabisa hunà àkili, tume wamekujà kuboresha daftari la wapiga kura wewe unatakiwa kuwaeleza náni kàfà ili wamfute kwenye orodha Sasa hunà akili unàlalamika nini?
Tanzania hii walishatokaa wagombea maruhani mnashangaa nini wapiga kura nmaruhani?Mwenge Chacha Ghati, mkazi wa wilayani Tarime akielezea kushangazwa kwake baada ya kukuta jina la mke wake kwenye daftari la wapiga kura wakati amepotea miaka mitatu iliyopita
Pia soma: LGE2024 - Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024
Umriba elimu yako pliz.Sasa anaetakiwa kutoa taarifa za yeye kufutwa ni Tume? Yeye Yuko kwenye daftari alishajiandikisha sasa ndugu zake wanatakiwa wakatoe taarifa afutwe na kama hawajatoa taarifa hawezi futwa! Kufutwa na kutokufutwa hakufanyiki kiholela kunafanyika Kwa kufuata taratibu
Kama marehemu mmoja kaandikishwa Tarime, unahisi ni wangapi wamefufuka na kujiandikisha nchi nzima?Sasa anaetakiwa kutoa taarifa za yeye kufutwa ni Tume? Yeye Yuko kwenye daftari alishajiandikisha sasa ndugu zake wanatakiwa wakatoe taarifa afutwe na kama hawajatoa taarifa hawezi futwa! Kufutwa na kutokufutwa hakufanyiki kiholela kunafanyika Kwa kufuata taratibu
Tatizo ni ideals za ccm... Hata wewe hapo tayari huna tofauti na wao!Ikiwa wakati wa Nyerere tulipiga kura na wagombea maruhani, vipi mshangae wapiga kura maruhani?
Nyerere alikuwa Muislam?
Au una chuki tu na Uislam ikabidi uutaje?
Tatizo ni ideals za ccm... Hata wewe hapo tayari huna tofauti na wao!
Sasa anaetakiwa kutoa taarifa za yeye kufutwa ni Tume? Yeye Yuko kwenye daftari alishajiandikisha sasa ndugu zake wanatakiwa wakatoe taarifa afutwe na kama hawajatoa taarifa hawezi futwa! Kufutwa na kutokufutwa hakufanyiki kiholela kunafanyika Kwa kufuata taratibu
Makubwa! Una uhakika kuna swali la kipumbavu kama hilo liliulizwa? Marehemu wafufuke waende kuomba taarifa zao ziondoshwe kwa kuwa wameshakufa??Kweli kabisa hunà àkili, tume wamekujà kuboresha daftari la wapiga kura wewe unatakiwa kuwaeleza náni kàfà ili wamfute kwenye orodha Sasa hunà akili unàlalamika nini?
Sasa kama naongea na daftari lipo naongeaje ujinga? Msiwe mnalalamikia humu mtandaoni mkifika mtaani hamna action yoyote mnafanya? HAO marehemu wakati wanaandikishwa vyama havikupeleka wawakilishi wao?Unaongea ujinga! Ina maana hujui kama kuna kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa? Hilo unalosema daftari la wapiga kura ni tofauti na hili linaloongelewa hapa!
Kwani vyama haviruhusiwi kupeleka wawakilishi wao? Au wanakataa Ila yakitokea madudu wanalalamikia kwenye keyboardKama marehemu mmoja kaandikishwa Tarime, unahisi ni wangapi wamefufuka na kujiandikisha nchi nzima?
Ujinga wenu WA kulalamikia jamiiforums mkiambiwa wekeni wawakilishi mnakalia propaganda Tu mtandaoni hukuUmriba elimu yako pliz.
Fichapo kaujinga
Daftari ni jipya
Hapo nadhani ni daftari la mkazi ambalo lilisimamiwa na wasimamizi wasaidi wa vijiji na kata.Sasa anaetakiwa kutoa taarifa za yeye kufutwa ni Tume? Yeye Yuko kwenye daftari alishajiandikisha sasa ndugu zake wanatakiwa wakatoe taarifa afutwe na kama hawajatoa taarifa hawezi futwa! Kufutwa na kutokufutwa hakufanyiki kiholela kunafanyika Kwa kufuata taratibu
Nchi yetu inapitia changamoto sana katika uongozi wa serikali hii. Kama mungu unasikiliza wananchi basi yapukutishe yote majizi na matapeli kabla ya uchaguzi mkuu.Mwenge Chacha Ghati, mkazi wa wilayani Tarime akielezea kushangazwa kwake baada ya kukuta jina la mke wake kwenye daftari la wapiga kura wakati amepotea miaka mitatu iliyopita
Pia soma: LGE2024 - Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024
Sasa maana ya wao kuwa wawakilishi ni nini? Wanasiasa wanatuharibia nchiHapo nadhani ni daftari la mkazi ambalo lilisimamiwa na wasimamizi wasaidi wa vijiji na kata.
Hapo itakuwa walipoona uandikishaji upo chini walianza chomeka chomeka wengine ila la msingi aliyeandikishwa ni mkazi wa kitongoji husika