BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Daaah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipashe nalo ni gazeti la udaku, nini kimeisibu nchi hii?,raping it's a serious case inatakiwa iwe makini nayo, je kituo hiki cha police kina rape evidence collection kit?,nitashukuru mno jibu likiwa ni ndio, maana tutapata water tight case against suspect, na je suspect ameshapandishwa kizimbani kujibu tuhuma?kama bado kumtaja Jina lake humu ni makosa makubwa... wazazi wa watoto hao Magreth Sabai na Joyce Gesere walikuwa na watoto wao nje ya Kituo cha Polisi. Halafu watoto wote wana miaka 8.
Halafu majina ya watoto hao yamehifadhiwa! Sasa kuficha majina ya watoto kwa case hii inasaidia nini wakati umesha-disclose taarifa nyingine zote za kuwatambua?
Sema.Ikithibitika amekwisha
kwa hukumu zetu ss kosa hili ni kupigwa mawe mpaka kufa kwa sheriaya zenu nyiyi haya mkamfunge miaka 30 hili akaendeleze tabia hizoMwalimu wa dini wa shule za madrassa huko Tarime amekamatwa kwa tuhuma za kunajisi watoto wadogo.
Soma mwenyewe hapa chini.
======
MWALIMU wa madrasa kwenye Msikiti wa Kebeyo, Kijiji cha Getenga, Tarafa ya Inchugu wilayani Tarime mkoani Mara, Shaban Harun (37) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Sirari kwa tuhuma za kuwanajisi wanafunzi wake wawili wenye umri wa miaka minane kila mmoja.
Inadaiwa kuwa mwalimu huyo alifanya ukatili huo dhidi ya watoto hao (majina tunayahifadhi) baada ya kuwapeleka kwenye chumba anachoishi na kuwafanyia vitendo hivyo.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Getenga, Julius Makuri alidai: "Wakazi wa Kitongoji cha Kebeyo, Kijiji cha Getenga tumesikitishwa na kitendo cha mwalimu huyo kuwatendea vitendo vya kinyama watoto wadogo ambao ni wanafunzi wake.
"Tunaomba sheria ichukue mkondo wake ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye nia mbaya dhidi ya watoto ambao ni taifa la kesho."
Wazazi wa watoto hao Magreth Sabai na Joyce Gesere, walikutwa na Nipashe wakiwa na watoto wao, nje ya Kituo cha Polisi Sirari.
Nipashe
Ndio na mm nashangaaKumbe Kuna wakurya waislamu!
Mama D, wengine ni shemeji zetu 🙆♂️Aondolewe kilichomsababisha kutenda huo uasi
Kichwa?Aondolewe kilichomsababisha kutenda huo uasi
Baada ya lile sakata la Arusha watoto kujitokeza kusema walitandikwa sana ili waseme walifanyiwa hivyo vitendo na mwalimu wa Madrasa kitu ambacho niseme kilikosa ushahidi/ Support hata kutoka kwa wazazi wa waadhirikaMwalimu wa dini wa shule za madrassa huko Tarime amekamatwa kwa tuhuma za kunajisi watoto wadogo.
Soma mwenyewe hapa chini.
======
MWALIMU wa madrasa kwenye Msikiti wa Kebeyo, Kijiji cha Getenga, Tarafa ya Inchugu wilayani Tarime mkoani Mara, Shaban Harun (37) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Sirari kwa tuhuma za kuwanajisi wanafunzi wake wawili wenye umri wa miaka minane kila mmoja.
Inadaiwa kuwa mwalimu huyo alifanya ukatili huo dhidi ya watoto hao (majina tunayahifadhi) baada ya kuwapeleka kwenye chumba anachoishi na kuwafanyia vitendo hivyo.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Getenga, Julius Makuri alidai: "Wakazi wa Kitongoji cha Kebeyo, Kijiji cha Getenga tumesikitishwa na kitendo cha mwalimu huyo kuwatendea vitendo vya kinyama watoto wadogo ambao ni wanafunzi wake.
"Tunaomba sheria ichukue mkondo wake ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye nia mbaya dhidi ya watoto ambao ni taifa la kesho."
Wazazi wa watoto hao Magreth Sabai na Joyce Gesere, walikutwa na Nipashe wakiwa na watoto wao, nje ya Kituo cha Polisi Sirari.
Nipashe
Musa wa wapi? Mke wa waziri yupi tena?UONGO HUPANDA LIFT...ILA UKWELI HUJA KWA NGAZI...
HATA MUSA ALISINGIZIWA AMEMBAKA MKE WA WAZIRI...ILA UKWELI BAADAE ULIGUNDULIKA...NA WALIOMSINGIZIA WALIKUJA KULIPA BAADAE...
THEY JUST THINK BY DOING SO...WANAUDHALILISHA UISLAAM...
Huyu hapa muanzisha thread hii hapa chini, yeye anaamini kosa la mtu mmoja linakuwa na dini yake..!Uzur uislam haupimwi kwa ujinga wa mtu.Makosa ya mtu yatabak kuwa ya mhusika
Mama D, wengine ni shemeji zetu 🙆♂️