Tarime: Mwalimu wa Madrasa akamatwa kwa tuhuma za kunajisi watoto wadogo

... wazazi wa watoto hao Magreth Sabai na Joyce Gesere walikuwa na watoto wao nje ya Kituo cha Polisi. Halafu watoto wote wana miaka 8.

Halafu majina ya watoto hao yamehifadhiwa! Sasa kuficha majina ya watoto kwa case hii inasaidia nini wakati umesha-disclose taarifa nyingine zote za kuwatambua?
Sheria ndiyo inataka hivyo. Hivyo kuwa tu mpole.
 
Mwalimu wa dini wa shule za madrassa huko Tarime amekamatwa kwa tuhuma za kunajisi watoto wadogo.

Soma mwenyewe hapa chini.

======

MWALIMU wa madrasa kwenye Msikiti wa Kebeyo, Kijiji cha Getenga, Tarafa ya Inchugu wilayani Tarime mkoani Mara, Shaban Harun (37) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Sirari kwa tuhuma za kuwanajisi wanafunzi wake wawili wenye umri wa miaka minane kila mmoja.

Inadaiwa kuwa mwalimu huyo alifanya ukatili huo dhidi ya watoto hao (majina tunayahifadhi) baada ya kuwapeleka kwenye chumba anachoishi na kuwafanyia vitendo hivyo.

Mwenyekiti wa Kijiji cha Getenga, Julius Makuri alidai: "Wakazi wa Kitongoji cha Kebeyo, Kijiji cha Getenga tumesikitishwa na kitendo cha mwalimu huyo kuwatendea vitendo vya kinyama watoto wadogo ambao ni wanafunzi wake.

"Tunaomba sheria ichukue mkondo wake ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye nia mbaya dhidi ya watoto ambao ni taifa la kesho."

Wazazi wa watoto hao Magreth Sabai na Joyce Gesere, walikutwa na Nipashe wakiwa na watoto wao, nje ya Kituo cha Polisi Sirari.

Nipashe
Magreth na Joyce wana watoto madrasa!
 
Uzur uislam haupimwi kwa ujinga wa mtu.Makosa ya mtu yatabak kuwa ya mhusika
😝😝 hizi dini zinagombea kombe gani? Mara Padri ooh mwl. Wa madrasaaa!!

Hawa watu wabaya wanazivhafua dini za watu pasipo sababu.

Walaaniwe wote wenye tabia za kumkebehi Mwenyezi MUNGU.
 
... wazazi wa watoto hao Magreth Sabai na Joyce Gesere walikuwa na watoto wao nje ya Kituo cha Polisi. Halafu watoto wote wana miaka 8.

Halafu majina ya watoto hao yamehifadhiwa! Sasa kuficha majina ya watoto kwa case hii inasaidia nini wakati umesha-disclose taarifa nyingine zote za kuwatambua?
Matatizo ya kukariri, hawatafakari matendo yao.
 
Hivi hawa walimu wa madrasa mbona wanapenda sana kulawiti watoto wadogo? Pamoja na kuruhusiwa kuoa wake wanne lakini bado hawatosheki? Wapuuzi wakubwa!
Halafu hicho kitu kule Tandika Ni buku tu chumba chake.
Mimi siwezi kumchukulia kosa MTU anayekwenda kwa Malaya.
Malaya Wana umuhimu mkubwa Sana kwenye jamii yetu hasa wale wa kihaya ambao MTU huhitaji kutongoza na Bei zao nizakizalendo kupitiliza. Imagine buku tatu unamaliza shida yako, chumba chake mwenyewe.
 
Nasikia hata tiGO wanatoa. Sasa kwanini hawa maustadhi uchwara wasiende huko wakawafire hawo malaya badala ya kulawiti watoto wadogo. Wamelaaniwa sio bure.
 
HAWA WAVAA KOBAZI WANATUHARIBIA NCHI NA KIZAZI CHETU, KWA NINI WASIHAMISHIWE UARABUNI?? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Vipi kuhusu mapadre wanavyowaharibu vijana wenu wa kiume au ndo wanatengeza nchi?
 
UONGO HUPANDA LIFT...ILA UKWELI HUJA KWA NGAZI...

HATA MUSA ALISINGIZIWA AMEMBAKA MKE WA WAZIRI...ILA UKWELI BAADAE ULIGUNDULIKA...NA WALIOMSINGIZIA WALIKUJA KULIPA BAADAE...

THEY JUST THINK BY DOING SO...WANAUDHALILISHA UISLAAM...
Duuu umelewa dini
 
Aondolewe kilichomsababisha kutenda huo uasi
Na hii ndio ingekuwa fundisho kwa wengine wote.
Hawakomi kuwatendea unyama watoto sababu akihukumiwa miaka 30 au kifungo cha maisha ni rahisi kwao.
 
Wapuuzi kabisa. Wanawake wamejaa tele
Wao wanaenda kutuharibia watoto! Ushetwani mtupu
 
Mwalimu wa dini wa shule za madrassa huko Tarime amekamatwa kwa tuhuma za kunajisi watoto wadogo.

Soma mwenyewe hapa chini.

======

MWALIMU wa madrasa kwenye Msikiti wa Kebeyo, Kijiji cha Getenga, Tarafa ya Inchugu wilayani Tarime mkoani Mara, Shaban Harun (37) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Sirari kwa tuhuma za kuwanajisi wanafunzi wake wawili wenye umri wa miaka minane kila mmoja.

Inadaiwa kuwa mwalimu huyo alifanya ukatili huo dhidi ya watoto hao (majina tunayahifadhi) baada ya kuwapeleka kwenye chumba anachoishi na kuwafanyia vitendo hivyo.

Mwenyekiti wa Kijiji cha Getenga, Julius Makuri alidai: "Wakazi wa Kitongoji cha Kebeyo, Kijiji cha Getenga tumesikitishwa na kitendo cha mwalimu huyo kuwatendea vitendo vya kinyama watoto wadogo ambao ni wanafunzi wake.

"Tunaomba sheria ichukue mkondo wake ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye nia mbaya dhidi ya watoto ambao ni taifa la kesho."

Wazazi wa watoto hao Magreth Sabai na Joyce Gesere, walikutwa na Nipashe wakiwa na watoto wao, nje ya Kituo cha Polisi Sirari.

Nipashe
Nadhani adhabu wanazopewa hawa walawiti ziboreshwe kidogo. Na wao wawe wanalawitiwa kwanza kabla ya kufikishwa mahakamani ili wajue uchungu wa kulawiti watoto wa watu kabala ya kufunguliwa mashtaka. Vinginevyo, vitendo vya ulawiti havitakoma.
 
Mtawatambua kwa matunda yao....
Sijawahi kusikia mchungaji au mu8njilisti wa kisabato kulawiti
 
Back
Top Bottom