Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Lissu The GreatestNdio ukweli wenyewe wakumfanyia kampeni raisi ni mgombea mwenza mama Samia Suluhu
Wamekutana na kisiki wakati huu!!Huyu Majaliwa anatapatapa apate uwaziri mkuu. Safari hii imekula kwake
Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?Ndio ukweli wenyewe wakumfanyia kampeni Rais ni mgombea mwenza mama Samia Suluhu
Kisheria hilo limekaaje ?Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wap
Hakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"Lissu The Greatest
Sitafuta andiko hilo , ninajua kuliko " people used to die in the lake "Hakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"
Kila siku mnakandia watu kiingereza kumbe na nyie Grammar ni ZERO.
Hujaambiwa ufute, umekumbushwa tu kuwa usiwe unakandia wasiojua kiingereza na wewe chako cha kuvizia tu.Sitafuta andiko hilo
Nasikia mwamtafuta jecha awape informationKwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?
Akili za kinyumbu tu.
Hakuna mwanachama wa Chadema anajua kingereza mkuu, amini hivyo.
Ni wakati gani anakuwa PM na wakati gani anakuwa mjumbe wa kamati kuu ?Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Haja haha ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura rais popote Tanzania.
Mimi si mmoja wao wa kujadili ya kusikia, watu au matukio. Hoja kwa hoja na siyo vioja.
Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.
Ndio ukweli wenyewe wakumfanyia kampeni Rais ni mgombea mwenza mama Samia Suluhu
Lisu ni mwanasheria wa kwenye magazeti tu na mitandaoni ila hakuna kitu aliwahi kuongea kikaleta maana.Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.