Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Tabia ya mto ni kusomba takataka, takataka hizo ndo zitajifuma kwenye hayo magogo hatimaye yatageuka kizuizi cha maji. Maji hayataki shida hivyo yataondoka na hayo magogo kwenda kuwafaidisha watu wa pwaniHapana, chini kuna uwazi mkubwa usioweza kuzuia maji.
Ni kweli limetumia mil 31 mchanganuo wa hesabu ni kwamba gharama za ujenzi wa daraja zima ni mil 4 na mil 27 zilitumika kuwalipa mamba ili wakae mbali na eneo hilonwakati daraja likijengwa.
Asante kwa elimuHizo mbao kwa furniture hazifai, zinapinda!! Hiyo mijiti Ni kiburi,asili yake hainyonyi maji, ndio Yale manguzo ya umeme wanayotumia Tanesco,
Kwenye Maji hata miaka ishirini linakaa Hilo jiti au mbao yake, na ikikauka kuingia kwake msumari kwa mbinde aswaa,
Humu wengi hawana wanalolijua wanaponda tu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ni kweli limetumia mil 31 mchanganuo wa hesabu ni kwamba gharama za ujenzi wa daraja zima ni mil 4 na mil 27 zilitumika kuwalipa mamba ili wakae mbali na eneo hilonwakati daraja likijengwa.
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] Karibu TanzaniaNi kweli limetumia mil 31 mchanganuo wa hesabu ni kwamba gharama za ujenzi wa daraja zima ni mil 4 na mil 27 zilitumika kuwalipa mamba ili wakae mbali na eneo hilonwakati daraja likijengwa.
Kwa tenda za serikali zilivyo kila kitu kinawezekanaYaani hizo mbao ndio zimegharimu hell yote hiyo?
Daah!!!Ni kweli limetumia mil 31 mchanganuo wa hesabu ni kwamba gharama za ujenzi wa daraja zima ni mil 4 na mil 27 zilitumika kuwalipa mamba ili wakae mbali na eneo hilonwakati daraja likijengwa.
Tupe risiti ya kielektronikiKwa tenda za serikali zilivyo kila kitu kinawezekana
1. Upembuzi yakinifu milioni 15
2. Ufundi milioni 5
3. Mbao milioni 5
4. Cha juu milioni 5
5. Misumari milioni 1
Ndiyo bwashee 😄Yaani hizo mbao ndio zimegharimu hell yote hiyo?