TARURA: Ni kweli Daraja la Mto Mngeta lilitumia Tsh. milion 31

Halina kingo, tani 10 wamejaribu kabla hawajatamka ama ni nadharia
Bila kingo hatari sana kwa mtembea kwa miguu au gari itakayokuwa inavuka.

Isitoshe, hizo mbao zilivyokaa inabidi mtu awe makini sana kuhakikisha tairi za gari hazikanyagi pembeni; tofauti na hivyo ni rahisi sana kutumbukia mtoni.

Ni aibu sana kwa mhandisi kutetea kazi ya hovyo kiasi hicho.
 
hapo walevi wataliwa na mamba mno.....ukipepesuka tuu....chubwiii
 
Yani hawa wasenge wameshindwa hata kuzichonga vizuri hizo mbao walau zilingane humo pembe zoni?

Milion 31??
 
Huyu Meneja wa TARURA nae hajielewi kbs. Kwanini asije na ufafanuzi ni gharama kiasi gani zilihitajika kutengeneza daraja la zege. Maana unaweza kukuta hilo daraja ni gharama ndogo endapo lingetumia sementi. Kwa hiyo baada ya miaka 10 mambo yanarudi kulekule.
 
Hizo ni zile wilaya tunazopigania ziwe mkoa wa kujitegemea baada ya Morogoro kuvunjwa na kuwa mikoa miwili.

Huko hakuna Rais wala PM anaendaga, wala vigogo wa serikali, so kupiga ni kawaida, hakuna wa kukagua wala kuuliza, unapeleka tu report.


Everyday is Saturday............................ 😎
 
Hili hata laki saba hiishi
 
Seriously? TZS 31 million kwa ninachoona kwenye picha? Dah! Haya bwana, Kazi iendelee!
 
Tena hasa mtembea kwa miguu akiwa amepata moja moto moja baridi 😀. Atajisikia tu anapaa mwishoni anadakwa na hao mamba wanaosemekana wapo kwenye huo mto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…