Wehu ni nyie mnaokuja kuleta habar za kipumbavu hapa kuzi sugarcoat kuonesha Kuna Cha maana kinafanyika kumbe usenge tu... Unampa mtu elfu 10 kwa mwezi...inamsaidia nini...bladfaken kabisa. Endeleeni kumtukana Mungu.wehu hao mkuu achana nao
mwakani mchakato wa katiba utaanza kuwa na amani kabisaMkuu sipo kwenye uchama, ila nikiona jambo haliendi sawa najua. Mkuu umeshindwa kuelewa nini? Kutumia hela nyingi hivyo tasaf maana yake tegemezi wapo wengi na kuwa na tegemezi wengi hivyo ni kwamba umasikini ni mkubwa sana. We huoni kama hapo kuna kitu hakiko sawa especially ukijaribu kuona wanaopewa hizi hela ni wazee wasiokuwepo toka nchii hii inaanza kupata hela na unemployment rate ilikuwa ndogo?...hauoni kama they have failed us toka zamani na hawawez my rectify haya makosa kwa tasaf, lazima mfumo ubadilike kwa kubadili katiba ASAP sababu yote haya yanaanzia kwenye katiba....
Kuwa na masikini wengi ni sifa?upumbafu wangu ni upi hapo?
ndio iko hivyoTasafu wapewe wazee Tena wenye miaka 65plus
Wanafurahia maskin wakiwa wengi ili waendelee kuwa manipulate for their own selfish bastard reasons ..Mkuu sipo kwenye uchama, ila nikiona jambo haliendi sawa najua. Mkuu umeshindwa kuelewa nini? Kutumia hela nyingi hivyo tasaf maana yake tegemezi wapo wengi na kuwa na tegemezi wengi hivyo ni kwamba umasikini ni mkubwa sana. We huoni kama hapo kuna kitu hakiko sawa especially ukijaribu kuona wanaopewa hizi hela ni wazee wasiokuwepo toka nchii hii inaanza kupata hela na unemployment rate ilikuwa ndogo?...hauoni kama they have failed us toka zamani na hawawez my rectify haya makosa kwa tasaf, lazima mfumo ubadilike kwa kubadili katiba ASAP sababu yote haya yanaanzia kwenye katiba....
hii sio kweliWanafurahia maskin wakiwa wengi ili waendelee kuwa manipulate for their own selfish bastard reasons ..
Wapumbavu wakubwa nyie...🚮🚮🚮🚮 Unaona sifa kua na maskin wengi in society halaf umpe maskin elfu 20 kwa mwezi ujione umefanya kazi ya maana sana...washenzi nyie.hata hivyo wanapewa pesa bure kabisa
Anahudumia kutoka kwenye mshahara wake? Mnapenda kujitoa ufahamu ili tutumie maneno makali kuwakosoa mseme mnatukanwa! Sasa mtu ukiwa unaongea uongo na uzushi na ukiwa unajua sikweli unategemea tuwakosoeje? Nimeshindwa kuvumilia, HUNA AKILI !Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Katika kupambana kuwatoa wananchi wanaoishi katika lindi la umasikini.
Rais Samia amefanya jitihada mbalimbali ikiwa ni Pamoja na, kuongeza kiwango cha fedha kwa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) inayohudumia wananchi wanaoishi katika kaya masikini waweze kumudu gharama za mahitaji yao ya kila siku.
Ambapo Rais aliongeza fedha katika mfuko huo kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 jitihada hizi zimesaidia kuongezeka kwa idadi ya wanufaika kutoka 5,000,000 na kufikia 5,202,655 mwaka 2024, sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655. Jitihada na uwekezaji huu katika kuwanusuru kaya masikini ni msingi mzuri wa kutimiza shabaha ya dira 2050 inayolenga kutokomeza umasikini uliokithiri kwa makundi yote miongoni mwa watanzania.
hii sio kweliUmasikin huu unasababishwa na 1. Ufisadi 2. Elimu ndogo kwa wapiga kura 3. Kung'ang'ania madarakani 4. Wizi 5. Upendeleo 6. Kujilimbikizia mali 7. Mahakama, Bunge na vyombo vya ulinzi kukosa nguvu ya kusimamia, kutunga Sheria na weredi wa kazi 8. Acha tu
Yani unakopa matrion ugawie watu Tsh 30,000 kwa mwezi ili uondoe umaskini wao. Kwanini usijenge viwanda hawa watu wakaajiriwa huko au kuingia kwenye mnyororo wa thamani?Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Katika kupambana kuwatoa wananchi wanaoishi katika lindi la umasikini Rais Samia amefanya jitihada mbalimbali ikiwa ni Pamoja na, kuongeza kiwango cha fedha kwa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) inayohudumia wananchi wanaoishi katika kaya masikini waweze kumudu gharama za mahitaji yao ya kila siku.Ambapo Rais aliongeza fedha katika mfuko huo kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 jitihada hizi zimesaidia kuongezeka kwa idadi ya wanufaika kutoka 5,000,000 na kufikia 5,202,655 mwaka 2024, sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655. Jitihada na uwekezaji huu katika kuwanusuru kaya masikini ni msingi mzuri wa kutimiza shabaha ya dira 2050 inayolenga kutokomeza umasikini uliokithiri kwa makundi yote miongoni mwa watanzania.
shida iko wapiYani unakopa matrion ugawie watu Tsh 30,000 kwa mwezi ili uondoe umaskini wao. Kwanini usijenge viwanda hawa watu wakaajiriwa huko au kuingia kwenye mnyororo wa thamani?
Masharti ya wakopaji wanstakiwa wagawe ili mwakani tena waende kukopa na wao wanaenda na hiyo copy ya kukopa mpaka mwisho mawazo yako ni mazuri ila hawawezi kuyafanyia kazi.Yani unakopa matrion ugawie watu Tsh 30,000 kwa mwezi ili uondoe umaskini wao. Kwanini usijenge viwanda hawa watu wakaajiriwa huko au kuingia kwenye mnyororo wa thamani?
kweli bibi yako aweza kuwa muhuniTASAF ni kitengo kingine wahuni wanapigia hela kirahisi sana kama wahuni hawapeleki pesa waliyokusanya ya kodi au ushuru wa Jiji kama CAG alivyotoa taarifa kuwa fedha zilikusanywa ila hazikufika bank ndio uwape wakusanye wazee na kuwalipa utapewa matarakimu tu mpaka wanaenda motoni..
Unanitafutia ban matusi yameishia mdomoni.kweli bibi yako aweza kuwa muhuni
We jamaa tuombe uzima, nikukumbushe mwakani mwez gani?mwakani mchakato wa katiba utaanza kuwa na amani kabisa