toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,556
Wanazingua, hawajiulizi the why questions?.....kwenye developing countries au under developed countries manipulation ndio mfumo yenyewe na ilitokea mtu yeyote ambae ataamua kuwa whistle blower, they clip him/her, why ? Sababu wanataka regime iliopo iendeelee hivyo hivyo, why ? Because wao binafsi wanafaidika nayo...kama ulivyosema they are debased......Wanafurahia maskin wakiwa wengi ili waendelee kuwa manipulate for their own selfish bastard reasons ..
jibu hojaUnanitafutia ban matusi yameishia mdomoni.
ila Hawa buku 7 wa mboga mboga akili hawana
Endelea tu...jibu hoja
Mmeshindwa miaka 60 iliyopita, hiyo 2050 ni upuuzi mtupu.Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Katika kupambana kuwatoa wananchi wanaoishi katika lindi la umasikini.
Rais Samia amefanya jitihada mbalimbali ikiwa ni Pamoja na, kuongeza kiwango cha fedha kwa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) inayohudumia wananchi wanaoishi katika kaya masikini waweze kumudu gharama za mahitaji yao ya kila siku.
Ambapo Rais aliongeza fedha katika mfuko huo kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 jitihada hizi zimesaidia kuongezeka kwa idadi ya wanufaika kutoka 5,000,000 na kufikia 5,202,655 mwaka 2024, sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655. Jitihada na uwekezaji huu katika kuwanusuru kaya masikini ni msingi mzuri wa kutimiza shabaha ya dira 2050 inayolenga kutokomeza umasikini uliokithiri kwa makundi yote miongoni mwa watanzania.
ila hatua zinaoonekanaMmeshindwa miaka 60 iliyopita, hiyo 2050 ni upuuzi mtupu.
Acheni ku personalize kazi za serikali zinazotumia pesa za walipakodi na kazi za watu wengi sana kama vile ni kazi iliyofanywa na mtu mmoja kwa pesa na kazi yake pekee.Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Katika kupambana kuwatoa wananchi wanaoishi katika lindi la umasikini.
Rais Samia amefanya jitihada mbalimbali ikiwa ni Pamoja na, kuongeza kiwango cha fedha kwa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) inayohudumia wananchi wanaoishi katika kaya masikini waweze kumudu gharama za mahitaji yao ya kila siku.
Ambapo Rais aliongeza fedha katika mfuko huo kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 jitihada hizi zimesaidia kuongezeka kwa idadi ya wanufaika kutoka 5,000,000 na kufikia 5,202,655 mwaka 2024, sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655. Jitihada na uwekezaji huu katika kuwanusuru kaya masikini ni msingi mzuri wa kutimiza shabaha ya dira 2050 inayolenga kutokomeza umasikini uliokithiri kwa makundi yote miongoni mwa watanzania.
Acheni ku personalize kazi za serikali zinazotumia pesa za walipakodi na kazi za watu wengi sana kama vile ni kazi iliyofanywa na mtu mmoja kwa pesa na kazi yake pekee.
Mkapa aliwaambia watu waache kusema "serikali ya Magufuli" waseme serikali ya CCM.
Ya nani nini? Andika sentensi kamili.ya nani
kwa wanachiYa nani nini? Andika sentensi kamili.
Is that too much to ask for?
sio keliHizo ni kodi za wananchi wewe genius. Sio za mtu binafsi wala kiongozi yoyote.
Nakuuliza ya nani nini, unajibu kwa wananchi.kwa wanachi
Kumbe? Zinatoka wapi sasa?sio keli
Huyo jamaa labda kalewa. Angalia anavyoandika tu.Kumbe? Zinatoka wapi sasa?
Dah!Kuna jinsi unaumia ila basi tu!Huyo jamaa labda kalewa. Angalia anavyoandika tu.
Rais ameongeza hizo fedha kutoka wapi, kutoka mshahara wake?. Si fedha za mkopo? Atalipa nani? Yeye?Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Katika kupambana kuwatoa wananchi wanaoishi katika lindi la umasikini.
Rais Samia amefanya jitihada mbalimbali ikiwa ni Pamoja na, kuongeza kiwango cha fedha kwa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) inayohudumia wananchi wanaoishi katika kaya masikini waweze kumudu gharama za mahitaji yao ya kila siku.
Ambapo Rais aliongeza fedha katika mfuko huo kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 jitihada hizi zimesaidia kuongezeka kwa idadi ya wanufaika kutoka 5,000,000 na kufikia 5,202,655 mwaka 2024, sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655. Jitihada na uwekezaji huu katika kuwanusuru kaya masikini ni msingi mzuri wa kutimiza shabaha ya dira 2050 inayolenga kutokomeza umasikini uliokithiri kwa makundi yote miongoni mwa watanzania.
Hakuna kuumia. Niumie kwa nini?Dah!Kuna jinsi unaumia ila basi tu!
Only an idiot and a lapdog could think that way.Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Katika kupambana kuwatoa wananchi wanaoishi katika lindi la umasikini.