TASAF inatumia Tshs Bilioni 900 kuhudumiwa watu milioni 5

Bandiko la kitoto kuwahi kutokea hapa we bora ungekaabkimya na tasaf yako elfu 30 itamkomboa nani? Upuuzi kabisa
 
Bandiko la kitoto kuwahi kutokea hapa we bora ungekaabkimya na tasaf yako elfu 30 itamkomboa nani? Upuuzi kabisa
ningepata comment toka kwa mnufaika wa TASAF ingekuwa bora zaidi kuliko wewe
 
Hakika hii ni record
 
Yaani unajisifu kuwahudumia masikini unaowasa abishia umaskini?. Kwa Nini kama u awapenda usiwatoe kwenye umaskini!. 30,000 ndo uje kutoka mishipa humu ,,,MNAFIKI WEWE
 
Kazi nzuri Sana
 
Hapa tuje TU na gunia la jiki maana naona tunakazana kusafisha lakini wapi
Uchafu bado upo na umeng'ang'ana kweli kweli sijui tutoke vip hapa
Moyo wa upendo moyo usio na hila
 
Hapa tuje TU na gunia la jiki maana naona tunakazana kusafisha lakini wapi
Uchafu bado upo na umeng'ang'ana kweli kweli sijui tutoke vip hapa
Moyo wa upendo moyo usio na hila
kazi imefanyika sana
 

Mjue tu hizi ni pesa za msaada 😂😂 kwa nchi masikini. Kuudumia watu wengi maana yake ni kwamba masikini wameongezeka
 
Hiyo kauli ingekuwa kwangu ingekuwa tofauti, mfano mm nahudumia yatima 500 natumia kama 600mil. Utajua tu mm kwa mfuko wangu binafsi ndio pesa zangu. Sasa huyo wa kwenu ...nawaza hizo pesa anatoq kizimkazi na za ukoo wake ndio anasaidia au anatumia pesa zetu kutokana na Kodi tunazotoa. Mnampa majukumu ambayo si yake kwa kauli...ungesema serikali inatumia 500bil kuhudumia ktk uongozi wa samia na ccm..hapo ingekuwa sawa😃
 
Kwa hizo rekodi za watu wa kayak maskini badala ya kupungua wao ndo wanaongezeka....ni ishara ya kwamba umaskini unaongezeka kwa Kasi kubwa sana ...na Wala siyo sifa ya kumpa Mh Raisi kwamba kaongeza Fedha kutoka asilimia fulani to asilimia fulani. .binafsi naona km unampaka matope.
 
Yaani unajivunia kusema unahudumia masikini 5.2M ?

Tena kwa kuwapa handouts.?

$10 Kwa mwezi wanafanyia kitu gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…