hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Usipate shida mkuu fungua akili tu,...Isa amezaliwa wapi? Tuanzie hapo.
Issa amezaliwa na Bikra Maryam.
Vipi, Yesu hajazaliwa na Bikra Maryam?
Je, kuna Mwanamke mwingine Bikra aliyebeba mimba na kuzaa mtoto kwenye historia ya Dunia hii ukiachana na Maryam?