FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hakuba Yesu aliyezaliwa Makkah wala madina.Ilio andikekwa wapi? Wakati huyo wa kiarabu alizaliwa maka akafia Madina sasa tuekeze ni yupi wa Bethlehem au makha.
Mie nafahamu kuhusu Yesu mwana wa Mariam ametajwa yeye ma mama'ke kwenye Qur'an.