DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Dah umenichekesha Sana 😅🤣🤣Ndio maana nikasema Yesu ndio mwenye BC na AD yake au ilifanywa rejea ya mtemi isike???
Eti mtemi isike...Umesahau kuhusu Wafalme na koo za kifalme na Era zao au rejea zao...
Kama kina mfalme dario na wengine...
Inahesabu 2023 lakini kama nilivyosema wanatumia maneno BCE na CE na sio BC na ADNchi zote ASIA wanatumia huu mfumo,leo dunia nzima inahesabu 2023 au hutaki???
Naona hukunielewa
Kwanini wewe usiamini katika mormonesUkristo una madhehehu mengi tu,uislam si ktk madhehebu hayo,wapo wanaoamini huo mwendelezo hao mormones.
Uislamu ni dini Nyingine mkuu