Usipate shida mkuu fungua akili tu,...Isa amezaliwa wapi? Tuanzie hapo.
Acha kuzunguka jibu swali Isa amezaliwa wapi?.Usipate shida mkuu fungua akili tu,...
Issa amezaliwa na Bikra Maryam.
Vipi, Yesu hajazaliwa na Bikra Maryam?
Je, kuna Mwanamke mwingine Bikra aliyebeba mimba na kuzaa mtoto kwenye historia ya Dunia hii ukiachana na Maryam?
Attis na Horusje kuna Mwanamke mwingine Bikra aliyebeba mimba na kuzaa mtoto kwenye historia ya Dunia hii ukiachana na Maryam?
Alikuwa anawafuata kuwaponya, siyo kuzunguka nao.Jamii ya kipindi hicho ilikuwa inajitenga na watu wa namna fulani ambao yeye ndio alikuwa anazunguka nao.
Hapana. Kampani yake ilikuwa wanafunzi wakeHaijalishi alikuwa hafanyi wanachofanya lakini ndio ilikuwa kampani yale.
Sijibu hilo swali, halina maana yoyote,..kama hujaelewa nilichoandika hapo juu basi hutoelewa tena.Acha kuzunguka jibu swali Isa amezaliwa wapi?.
Lazima ukimbie kwasababu unaujua ukweli ila ulijaribu kuleta uhuni .Sijibu hilo swali, halina maana yoyote,..kama hujaelewa nilichoandika hapo juu basi hutoelewa tena.
Ili ujifunze kitu kuwa free minded,.la sivyo utakataa 1+1 sio 2 Kwa kuwa tu umekariri majibu yako.
Ahsante.
Oh nimecheki kuhusu Attis na Horus sasahvi lakini sioni relation yoyote kwamba walizaa while ni virgins?Attis na Horus
Were born of virginsOh nimecheki kuhusu Attis na Horus sasahvi lakini sioni relation yoyote kwamba walizaa while ni virgins?
Au story yao imekaaje mkuu,.
Na wengine walipewa jina la mataifa japo alikuwa nao na sababu kubwa hawakuwa wayahudi.Alikuwa anawafuata kuwaponya, siyo kuzunguka nao.
Hapana. Kampani yake ilikuwa wanafunzi wake
Hahh eti uhuni,... Sio uhuni bali sipendi ubishi kwenye vitu ambavyo vipo clear.Lazima ukimbie kwasababu unaujua ukweli ila ulijaribu kuleta uhuni .
Sikia ndugu sijakutusi elewa hilo. Isa hakuwa myahudi na hajazaliwa bethlehemu, yeye alizaliwa maqha ila Yesu alizaliwa bethlehemu. Sasa unanielezaje kuwa ni mtu 1?.Hahh eti uhuni,... Sio uhuni bali sipendi ubishi kwenye vitu ambavyo vipo clear.
Tutapoteza muda tu.
Well,... lakini haihuisiani na huyo Mwanamke aitwae Maryam aliyemzaa masihi.Were born of virgins
Usijali brother,.. okay, nani kakuambia Isa kazaliwa Makkah?Sikia ndugu sijakutusi elewa hilo. Isa hakuwa myahudi na hajazaliwa bethlehemu, yeye alizaliwa maqha ila Yesu alizaliwa bethlehemu. Sasa unanielezaje kuwa ni mtu 1?.
QranUsijali brother,.. okay, nani kakuambia Isa kazaliwa Makkah?
Naongelea virgin. Mambo ya virgin birth yame exisist in many methodologies toka sehemu mbalimbali dunianiWell,... lakini haihuisiani na huyo Mwanamke aitwae Maryam aliyemzaa masihi.
Story yao nimeicheki naona ipo hivi⬇️
Both Attis and Horus are associated with divine births, but the details vary. Attis, in Phrygian mythology, was born of a virgin named Nana, who conceived him by placing a ripe almond or pomegranate on her bosom. On the other hand, in Egyptian mythology, Horus is often considered the son of the goddess Isis and the god Osiris, with the circumstances of his birth involving the resurrection of Osiris rather than a virgin birth.
Kwani mkuu thread yangu inahusiana vipi na hiyo vita? 😀😀Mpaka vita ya Palestine iishe tutasikia mengi...
Sio kweli... Labda kama una ushahidi.Qran
Ni kama una makasiriko hivi mkuu😁😁Kwani mkuu thread yangu inahusiana vipi na hiyo vita? 😀😀
Sawa,. NimekupataNaongelea virgin. Mambo ya virgin birth yame exisist in many methodologies toka sehemu mbalimbali duniani.