Taswira ya Yesu anayehubiriwa ni tofauti na Yesu halisi

Mpaka vita ya Palestine iishe tutasikia mengi...
Kitofu cha ulimwengu pana fujo nyingi, naamini idadi ikifika laki fujo itaisha na hasara na muda mrefu, hawata fikiria fujo Tena zaidi ya kuanza kuimarisha uchumi wa eneo husika.
 
Ni kama una makasiriko hivi mkuu😁😁
Hapana hata maana mimi nimezungumzia taswira ya lifestyle lake ukisoma maandiko, unagundua hakuwa na swaga za wapendwa design ya akina Mwakasege.
Halafu pili huenda wewe wafikiri labda nimeandika hii thread kisa labda mimi Juma au Shaban. Mimi born and raised kwenye familia ya Kikatoliki na sijawahi kana hili.
 
Amran au kabut?
 
Unajua wewe ni mjanja unasoma nusunusu, swali liko palepale amezaliwa nchi ipi? Ili twendwe sawa.
 
Ukitaka kumfahamu Yesu wa kweli isome Qur'an.

Au tuulize tunaoisoma tukufahamishe.
Emu tuelezee huyo Yesu wa Quran kwanza na yeye alikuaje alikua msela na kikundi chake Cha masela au alikuajekuaje?
 
Kumbuka alivyofanyaga fujo mle hekaluni tupa tupa vitu vya watu😁
 
[emoji123] safi sana
 
Kwa hio Quruan inamtambua Yesu Ila waislamu hawataki kula kitimoto au sio au ni jeuri tu?
 
Agano jipya lote limeandkkwa na third person watu wote waliosimuliwa kuhusu Yesu....na sio Eye witness accounts kwa hiyo hawana tofauti na Mohamed..
Duh, punguzeni uongo basi..
Petro, Yakobo, Yohana, Filipo.. hawa walikuwa wanafunzi (mitume) waliofuatana na kufundishwa na Yesu na walishiriki kuandika Agano jipya
 
Reactions: Cyb
Sema unajua nini nadhani watu wamekuelewa vibaya kwenye huu uzi wako,....lakini naona lengo lako ni zuri tu wala sio kum downgrade Yesu kama watu wanavyodhani..Bali umejaribu kuonyesha kwamba Yesu kwenye lifestyle yake alipenda kujichanganya na kuishi na watu wa Hali ya kawaida masikini, wanyonge, wasio na madaraka na hata ambao walijiona wamezama kwenye madhambi... Lakini pia umejaribu kuonyesha mfano endapo angeishi Zama hizi kwamba jamii ingemshangaa kama walivyofanya watu wa Zama zake.

Sasa sijui kwanini watu wamechukulia negative uzi mzuri kama huu 👊
 
Kumbuka alivyofanyaga fujo mle hekaluni tupa tupa vitu vya watu😁
Ndicho nachosema we waza mtu anaenda pale kanisa la St. Peter anaanza sukuma viti sukuma meza anasema wananajisi nyumba ya baba yake. Raia watasema huyu bangi zinamsumbua. Na ni wachache watakubaliana naye wengi wataona kapinda tu. So, ni ngumu kuamini si jambo rahisi.
 
Kumbuka alivyofanyaga fujo mle hekaluni tupa tupa vitu vya watu😁
Alafu akaingia mitini masela wenzie wakazuia asidakwe, Ila sasa mboni Yuda alipoenda kumchongea mboni hakutaka kufanya fujo mbele ya kikosi cha wasadukayo na wafarisayo?
 
Kwa hio Quruan inamtambua Yesu Ila waislamu hawataki kula kitimoto au sio au ni jeuri tu?
Hahh hata Yesu hakuna dalili yoyote kama alikula kitimoto...au nae alikua jeuri tu
 
Emu tuelezee huyo Yesu wa Quran kwanza na yeye alikuaje alikua msela na kikundi chake Cha masela au alikuajekuaje?
Ninge kueleza mengi tatizo siko tayari kiutani vitabu vya mungu havitaniwi. Mf imeandikwa wanawake( wakina mama) walimuhudumia Kwa Mali zao na pesa zao, idadi ya jinsia yako haikutajwa.
 
Wewe ndiye umenielewa mkuu. Watu wengi wamehisi ninamuattack. Kumbe hata sikuwa na maana hiyo ndio maana nasema watu hawakupata point yangu.
 
Alafu akaingia mitini masela wenzie wakazuia asidakwe, Ila sasa mboni Yuda alipoenda kumchongea mboni hakutaka kufanya fujo mbele ya kikosi cha wasadukayo na wafarisayo?
Ilibidi iwe hivyo Ili unabii utumie....ulikuwa ni wakati sahihi wa kumaliza mission yake
 
Wewe ndiye umenielewa mkuu. Watu wengi wamehisi ninamuattack. Kumbe hata sikuwa na maana hiyo ndio maana nasema watu hawakupata point yangu.
Tatizo watu humu washazoea vita hata kwenye amani wanachomoa mapanga.
 
Duh, punguzeni uongo basi..
Petro, Yakobo, Yohana, Filipo.. hawa walikuwa wanafunzi (mitume) waliofuatana na kufundishwa na Yesu na walishiriki kuandika Agano jipya

Agano jipya gani mkuu!​

Kasome church history na bible history..
Utagundua kuwa Cha kwanza kuandikwa kilikuwa ni nyaraka kabla ya kuandikwa kwa Injili..
Nyaraka zimanza kuandikwa mwaka 70 AD
Petro alikuwa Miaka Kadhaa baada ya Kifo cha yesu kadhalika yohana kwa makadirio Kama miaka 15 au 20 baada ya kifo cha yesu so ni mwaka 60 na kitu...

Injili zote zimeandikwa Hivi (Kama ilivyosemwa na )
Au kwa lugha ya kiyunani Kata mathew. Au kata Luke .....

Mkuu tunachokisema tunakijua ksa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…