Sema unajua nini nadhani watu wamekuelewa vibaya kwenye huu uzi wako,....lakini naona lengo lako ni zuri tu wala sio kum downgrade Yesu kama watu wanavyodhani..Bali umejaribu kuonyesha kwamba Yesu kwenye lifestyle yake alipenda kujichanganya na kuishi na watu wa Hali ya kawaida masikini, wanyonge, wasio na madaraka na hata ambao walijiona wamezama kwenye madhambi... Lakini pia umejaribu kuonyesha mfano endapo angeishi Zama hizi kwamba jamii ingemshangaa kama walivyofanya watu wa Zama zake.
Sasa sijui kwanini watu wamechukulia negative uzi mzuri kama huu 👊