Taswira ya Yesu anayehubiriwa ni tofauti na Yesu halisi

Ilibidi iwe hivyo Ili unabii utumie....ulikuwa ni wakati sahihi wa kumaliza mission yake
Kwa hio ilikua movie tu ya kivita au sio? Kuna movie niliionaga eti jamaa wanatumia time flies alafu wanaenda miaka hio wanakutana na Yesu anakaribia kukamatwa wanaenda kumwambia utadakwa utapigwa ufe, akawa anawaangalia tu
 
Kwa kawaida ya enzi Ile kulikuwa na Kodi katika hekalu nina maanisha sadaka ili kuendesha hekalu la Ibada, shida waumini wakaanzisha biashara kidogo kidogo mpaka ikazoeleka. Huwezi panga mihogo msikitini au kanisani ili upate faida ndio utoe sadaka (Kodi) iliitwa hivyo. Yesu aliona sadaka Ile ni batili, hamuwezi kugeuza nyumba ya Baba yangu kuwa pango la wanyanganyi, Kuna kumwaga vitu chini na kupiga watu na wanyama, Yesu alimwaga na kuwatawanya TU.
 
Kwa hio ilikua movie tu ya kivita au sio? Kuna movie niliionaga eti jamaa wanatumia time flies alafu wanaenda miaka hio wanakutana na Yesu anakaribia kukamatwa wanaenda kumwambia utadakwa utapigwa ufe, akawa anawaangalia tu
🤣🤣🤣🤣Duh, director aliwaza mbali
 
Mkuu unajua mambo mengi yanayofanyika kanisani unakuta tu hata hayako kwenye maandiko basi ni utaratibu ulianza kimasihara ukageuka kuwa utamaduni. Sasa assume aje leo akute ni siku ya mnada ile watu wananunua hata miwa kwa laki, aanze imwaga huko na huku akisema wananajisi nyumba ya baba yake. Hilo tu litafanya watu wengi wasiamini kama huyu ni Yesu maana bila shaka mtazamo wa wengi juu yake ni aje akiwa so cool anaongea taratibu si kumwaga mwaga vitu.
 
Napenda watu wa aina yako umenielewa vizuri sana. Hii haikubaliki na nimwazo wa pango la wanyanganyi.
 
Sawa tuendelee kutafuta ila la Yesu lipo na Kila mwaka waumini wanaenda kuhani, ( kuhiji).
Kwa mujibu wa Qur'an Yesu alikua elevated to heaven,...so kwasasa yupo huko. Means bado yupo hai hakuuawa.
 
Hivi waislamu mmelaaniwa na nani mbwa ninyi? Huu ujinga umeutoa wapi?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mujibu wa Qur'an Yesu alikua elevated to heaven,...so kwasasa yupo huko. Means bado yupo hai hakuuawa.
Kimwili aliuacha na badae akauchukua, kiroho hata hapo ulipo yupo. Kumbuka aligoma asishikwe na mtu yoyote hata yule alie mpenda hakumpa nafasi ksb mwili ulitakasika .
 
Kwa mujibu wa Qur'an Yesu alikua elevated to heaven,...so kwasasa yupo huko. Means bado yupo hai hakuuawa.
Ukristo unatangazwa na wasio kuwa wakristo. Mwamposa piga kazi tunaona mambo yanavyo enda haswa kwa wenye jicho la 3 tunaona mambo yalivyo.
 
Sasa quran mbn inadai hakuawa bali alihuishwa na atarudi na kuoa hapa duniani?kwanini apazwe kama mnavyodai?kwanini asipazwe yule mbakaji wa mtoto wa miaka 9?Hamas ndio outcast na ndio role models wenu wamekopi kwa mudy(war frontier).
 
Shida ilianzia hapa.
 
وَرَسُولًا إِلَىٰ بَنِي إِسْرَائِيلَ أَنِّي قَدْ جِئْتُكُم بِآيَةٍ مِّن رَّبِّكُمْ ۖ أَنِّي أَخْلُقُ لَكُم مِّنَ الطِّينِ كَهَيْئَةِ الطَّيْرِ فَأَنفُخُ فِيهِ فَيَكُونُ طَيْرًا بِإِذْنِ اللَّهِ ۖ وَأُبْرِئُ الْأَكْمَهَ وَالْأَبْرَصَ وَأُحْيِي الْمَوْتَىٰ بِإِذْنِ اللَّهِ ۖ وَأُنَبِّئُكُم بِمَا تَأْكُلُونَ وَمَا تَدَّخِرُونَ فِي بُيُوتِكُمْ ۚ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَةً لَّكُمْ إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ

[ AL I'MRAN - 49 ]
Na ni Mtume kwa Wana wa Israili kuwaambia: Mimi nimekujieni na Ishara kutoka kwa Mola Mlezi wenu, ya kwamba nakuundieni kwa udongo kama sura ya ndege. Kisha nampuliza anakuwa ndege kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na ninawaponesha vipofu wa tangu kuzaliwa na wakoma, na ninawafufua maiti kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, na ninakwambieni mnacho kila na mnacho weka akiba katika nyumba zenu. Hakika katika haya ipo Ishara kwenu ikiwi nyinyi ni wenye kuamini.

إِذْ قَالَ اللَّهُ يَا عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ اذْكُرْ نِعْمَتِي عَلَيْكَ وَعَلَىٰ وَالِدَتِكَ إِذْ أَيَّدتُّكَ بِرُوحِ الْقُدُسِ تُكَلِّمُ النَّاسَ فِي الْمَهْدِ وَكَهْلًا ۖ وَإِذْ عَلَّمْتُكَ الْكِتَابَ وَالْحِكْمَةَ وَالتَّوْرَاةَ وَالْإِنجِيلَ ۖ وَإِذْ تَخْلُقُ مِنَ الطِّينِ كَهَيْئَةِ الطَّيْرِ بِإِذْنِي فَتَنفُخُ فِيهَا فَتَكُونُ طَيْرًا بِإِذْنِي ۖ وَتُبْرِئُ الْأَكْمَهَ وَالْأَبْرَصَ بِإِذْنِي ۖ وَإِذْ تُخْرِجُ الْمَوْتَىٰ بِإِذْنِي ۖ وَإِذْ كَفَفْتُ بَنِي إِسْرَائِيلَ عَنكَ إِذْ جِئْتَهُم بِالْبَيِّنَاتِ فَقَالَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِنْهُمْ إِنْ هَـٰذَا إِلَّا سِحْرٌ مُّبِينٌ

[ AL - MAIDA - 110 ]
Na pale Mwenyezi Mungu atapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Kumbuka neema yangu juu yako, na juu ya mama yako, nilipo kutia nguvu kwa Roho Takatifu, ukazungumza na watu katika utoto na utuuzimani. Na nilivyo kufunza kuandika na hikima na Taurati na Injili. Na ulipo tengeneza udongo sura ya ndege, kwa idhini yangu, kisha ukapuliza ikawa ndege kwa idhini yangu; na ulipo waponesha vipofu na wakoma kwa idhini yangu; na ulipo wafufua wafu kwa idhini yangu; na nilipo kukinga na Wana wa Israili ulipo wajia na hoja zilizo wazi, na wakasema walio kufuru miongoni mwao: Haya si lolote ila ni uchawi mtupu!
 
Achana naye huyo. Hawa ni wezi ma wapotoshaji tu.. Ndio maana mambo ya maana yanapojadiliwa wao wanatakiwa wafukuzwe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…