Tathimini yangu Kati ya Simba Day na Yanga Day

Mwana Uto, akiisifia Uto kwa Uto wao wa wachezaji wa Utopolo. Na bado, kaaeni vizuri mpakwe dawa
 
Hao waimba kwaya wako nafasi ya 60 kwenye rank za caf ila nyie vinuka mavi mko nafasi 75 mnazidiwa hata na namungo
Simba kwetu lilikuwa tamasha la kukutanisha mashabiki,wachezaji,viongozi, pamoja na wapenzi wa simba walioko nje ya nchi suala kuingiza kipato cha gate collection sio muhimu kwetu sisi tulitaka burudani
Ila nyie mmejali kukusanya pesa za kuendesha timu na kulipa mishahara ya kina toto tundu na aziza nipe
 
Fanya research tena ya kitu kingine kuhusu simba, ukimaliza kunywa maji ya uvugu vugu, afu pumzikaaaaaaaah

Byuti byuti. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe bakia kwenye siasa huku unatoa maboko sana
Hii nakala ikufikie
 

Attachments

  • IMG-20220725-WA0006.jpg
    26.3 KB · Views: 3
 
Mbona Congo Drc vita haijawahi kuisha lakini wana mpira na vilabu bora kuliko Tanzania [emoji1241] na wachezaji wa vilabu vyetu tunasajili kutoka huko. Jenga hoja ama futa uzi.
Congo ni nchi kubwa ....hivyo Ina population kubwa .....ambayo kutokana na Vita, ukosefu wa ajira watu wengi hujikita kwenye michezo.....
Tofauti na wabongo .....mtoto wako anakula anashiba Hawezi kukumbuka kuchezea mpira......

Nadhani hata wewe unachukia unapoona mwanao ana base kwny mpira badala ya shule[emoji28][emoji28]
 
Mkuu unadhani kulingana na hizi mechi Nani ataibuka na ushindi tareh 13
 
Fanya research tena ya kitu kingine kuhusu simba, ukimaliza kunywa maji ya uvugu vugu, afu pumzikaaaaaaaah

Byuti byuti. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Research gaps zimeisha .....labda tufanyeje research ya kwann Simba itatolewa mapema michuano ya CAF kuliko yanga [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…