Tathimini yangu kutokana na ukongwe wa uchambuzi kutoka hapa ...mbeya (green city)
Tathimini kwa simba ( wakimataifa)
Tamasha la Simba day limekua Bora kuliko matamasha yote yaliyowahi kufanyika hapa nchini...kutokana na mpangilio wa matukio yaliyofanyika na kufanikiwa kuujaza uwanja zaidi Zaid ya wananchi ambapo kulikuwa na some gaps za viti...
Simba imecheza na timu kutoka Ethiopia..(timu ya waimba kwaya)..wote tunajua kuwa Ethiopia hamna soka bali Kuna wanariadha zaidi, pia Kuna Vita so hakikuwa kipimo sahihi kwa mnyama .....
Kwasisi wataalamu tunasema Simba kapiga bomu mochwari.....( Kaingia kwenye pango la popo bawa kinyume nyume) ....Kama unabisha Tukutane tareh 13
Tathimini kwa YANGA ( wananchi)
Yanga imecheza na vipers kutoka Uganda ......nadhani Uganda inajulikana kwa soka hapa kuwa kinara wa EAC....Kama unabisha refer to FIFA ranks..then wamefungwa so wamepata pa kurekebisha na kijifunza mengi. Ambayo impact yake itaanza kuonekana August 13 na kuendelea Hadi fainali ya CAF champions ( najua mtabisha).So yanga wamejifunza mengi ( congratulations kwao)
Mapato ( gate collections)
SIMBA=. 313, 860,000
YANGA = 521, 460,000
Kwa upande wa mapato yanga bado hakamatiki pamoja na Simba kuujaza uwanja wa mkapa
Je!!! ni ipi tathimini yako kwa hizi timu mbili?
View attachment 2318693