Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
120Tv yako ni inchi ngapi?
Yao kaonesha vipi kiwango kizuri??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
120Tv yako ni inchi ngapi?
Yao kaonesha vipi kiwango kizuri??
Inawezekana kuna viongozi labda wana wachezaji wao pale Yanga. Ila hata mimi nikiwa kama mshabiki wa Yanga, sijaona sababu ya kumchezesha Prince Dube kwenye kila mechi! Huku akiwa hana impact yoyote ile.Kwani Baleke anakoseaga wapi?
Wachezaji wetu hawana fitness nzuri sana.📌🔨Mechi ilikuwa nzuri
Wachezaji wa Yanga wameonyesha ukomavu na uvumilivu hadi nafasi za kufunga zikapatikana
Wachezaji wetu hawana fitness nzuri sana.
Nadhani labda uchovu kushinda ubingwa mara 3 siochezo, hii inasabisha mechi kukosa kasi tuliyozoea
Duke Abuya ni Mchezaji mzuri mno, ametimiza majukumu yake Kwa usahihi.
Azizi ki anahitaji mechi zisizo na pressure ili kurudisha confidence yake, ila Bado yuko poa
Kennedy Musonda amecheza vizuri hapa anadai mkataba mpya, Coach amwamini Musonda ili kumpunguzia Dube pressure ya kuwa striker namba 1
Kibabage amegoma kubadilika, amecheza vibaya sana,
Sio mzuri kwenye kukaba wala kushambulia,
Eng Hersi dirisha dogo ingia sokoni tuletee beki mzawa wa kushoto
Chama fundi huyu sisemi sana, hapaswi kukaa bench anataka mkataba zaidi ya kubakia Yanga
Max, Muda, Dube, Mwamnyeto, Komen, Yao kiwango kizuri mmeonyesha kama kawaida na ndo yalikuwa matarajio yangu
Timu kubwa imechezwa kikubwa, magoli hayana mbambamba kama wale wengine wanaoshiriki mashindano ya akina mama
Yanga bingwa 🏆
Sundar hata iwe 300 inch ni ngumu kupata clear vision
David bryson jkt anatufaa sana arudishwedirisha dogo ingia sokoni tuletee beki mzawa wa kushoto
Maisha yanaenda kasi sana. Leo Baleke, Chama na Mkude ni lulu pale vyurani, wanaliliwa waanze wakati tulikuwa tunaambiwa hakuna mchezaji wa Simba anaweza pata namba utopoloniBaleke ni mshambuliaji wa kati aliyekamilika! Ana nguvu, na pia ni msumbufu kwa walinzi! Hivyo anatakiwa apewe nafasi zaidi ya kucheza, kuliko Prince Dube.
Huu msumari wa utosi.
Akikujibu nitagi.
Umemshika pabaya huyo chura sijui kama atarudi kwa mvua hizi zinazonyesha anaweza kupotelea kwenye mitaro ya maji machafu tandale.
gonamwitu yule chura kanijibu bwana ila jibu lake sasa ni kama anakimbia hoja yake 🤣😂Kolo huelewi chochote
Shida ya mashabiki wengi wa simba ndiyo hii hapa! Kila kitu wanachoambiwa, basi wanakichukua kama kilivyo!Maisha yanaenda kasi sana. Leo Baleke, Chama na Mkude ni lulu pale vyurani, wanaliliwa waanze wakati tulikuwa tunaambiwa hakuna mchezaji wa Simba anaweza pata namba utopoloni
Kauli mnazitoa wenyewe kwa mihemko yenu halafu mnakuja kuzikataa wenyewe baada ya mambo kwenda ndivyo sivyo. Jifunzeni kuongea kwa kiasi.Shida ya mashabiki wengi wa simba ndiyo hii hapa! Kila kitu wanachoambiwa, basi wanakichukua kama kilivyo!
Sasa nimegundua kwa nini mliitwa mbumbumbu. Wakati mwingine muwe na akili kama za mbayuwayu! Msiwe kama kasuku.
Kwa hiyo kila kauli inayotolewa na mtu, unaiamini kwa 100%!!! Kwa hali hii basi hakuna umuhimu wa kutumia ubongo kufikiri.Kauli mnazitoa wenyewe kwa mihemko yenu halafu mnakuja kuzikataa wenyewe baada ya mambo kwenda ndivyo sivyo. Jifunzeni kuongea kwa kiasi.
Hata kauli yako hii siiamini hata kwa 2%. Punguzeni mhaho.Kwa hiyo kila kauli inayotolewa na mtu, unaiamini kwa 100%!!! Kwa hali hii basi hakuna umuhimu wa kutumia ubongo kufikiri.
Siku ambayo mlisema mngeshinda goli 8Lakini Kijili siku ilipofika alifanya jambo kubwa
Umeichambua vyemaYanga inarudi ila kwa taratibu mno kama kinyonga!!
Kibabage alikuwa akijiposition vizuri na kupewa mipira kosa alilofanya ni kujipigia tu makrosi bila umakini mipira yake yote Namungo wakawa wanablock, wakati mwingine basi hata atishie kupiga jamaa waruke kisha ndo apige. Ye akili yake ni kupiga tu hata mabeki walishamjulia ajifunze kwa Chama anafinya mno.
Yanga bado haiko njema sana iko slow hasa kwenye counter attack wachezaji hawarudi kwa kasi, na wengine wanategea kurudi kukaba. Hili ni bomu litatulipukia tukicheza na timu kubwa!
Ukabaji wa Yanga umerudi vizuri, wachezaji watatu wa Yanga wanamzunguka mpinzani alie na mpira wachukue mpira wao.
Mabeki wa Yanga wakipigiana mipira kama hawana nguvu vile, very slow , wanapigiana kichovu unasema huu mpira utafika kweli bila kunaswa. Wanapiga mpira kama wamelazimishwa vile!!
Bado tabia ya kurudisha mipira nyuma wanayo sana baadhi ya wachezaji wetu uto na hii maana yake ni kocha kukosa mbinu za kupasua ngome ya wapinzani. Kocha arekebishe Yanga daima mbele nyuma mwiko!!
Yanga bingwa!
Ww ni chura kiwete...muoga mnoo..Tukutane club bingwa
Ila wewe utakuwa kwenye mashindano ya akina mama