redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Mkude hawezi kuwa replacement ya Aucho, Duke Abuya lilikua chaguo Sahihi kucheza kuliko Mkude.
Musonda anacheza kwa kufuata Maelekezo na alitakiwa atokee kule pembeni na ata alipo ingia Chama Bado Musonda alikua akitokea pembeni na Ata Gamond ndivyo alivyokua akimchezesha.
Shida Kubwa ni Wachezaji wamepoteza utimamu wa mwili katika kipindi kibaya.
Yanga walitakiwa wawe Aggressive kama wale waarabu maana walikua Wana Vamia na kufika Maungoni.
Kibaya zaidi wachezaji awa wamecheza mechi nyingi kuanzia timu ya Taifa kwaiyo wengi Wana uchovu mwingi.
Sijajua mtu mpya wa fitness aliye letwa atawezaje kuondoa uchovu wa wachezaji na apoapo kuwa Fanya wawena Nguvu na spidi kwa wakati mmoja.
Mkude. asubiri FA Cup iyo ata imudu.
Wachezaji wengi wanataka ku pambana ila miili Yao Ina wasaliti.
Aziz anahitajika kupumzika, amepoteza strength na Sharpness apewe nafasi Baleke na Musonda mfululizo kwakua hawajatumika sana