Tathmini fupi mechi ya mc Alger Vs Yanga

Tathmini fupi mechi ya mc Alger Vs Yanga

Nilishasema, Yanga hataifunga timu yoyote ktk hili group na itakuwa ya mwisho.
 
Yanga kipindi cha pili anachoka sana. Asipobadilika anapigwa mechi zote mpaka za ndani. Hii inadhibitisha alikuwa anatumia sindano. Maana kabla ya kugundulika ndio alikuwa moto
Mwasibu fake 🤥 Leo unatamba
 
Mwasibu fake 🤥 Leo unatamba
IMG-20241208-WA0005.jpg
 
Yanga kipindi cha pili anachoka sana. Asipobadilika anapigwa mechi zote mpaka za ndani. Hii inadhibitisha alikuwa anatumia sindano. Maana kabla ya kugundulika ndio alikuwa moto
Kwahiyo Yanga alikuwa anahonga ili ashinde au alikuwa anatumia sindano?
 
Mchezo ulikuwa mzuri timu zote zilicheza Kwa mipango mizuri
Coach Saed umekuja Kipindi kigumu, nashauri upweke muda

Nampongeza coach Saed Ramovic ameingia na mbinu nzuri kiufundi

Tatizo la coach anakosa mamlaka hajiamini kabisa

Nimeshangaa sub ya Aziz ki kutoka mapema vile

Coach Saed anisikilize Duke Abuya siyo namba 6 Haiwezi, kila akicheza Yanga itafungwa tu
Yaani coach Saed ana copy team iliyomfunga Namungo ndo anaipeleka CAFCL, umeniboa sana

Mechi ijayo mpe Mkude acheze acha ubishi, Mkude alicheza vizuri mechi zote za Mamelod na team haikufungwa kabisa

Kibabage huyu yumo uwanjani kutimiza idadi ya wachezaji, yaani ni kama under 17 anacheza kwenye senior team, hakabi, hashambulii Kwa kifupi kibabage hana hata hadhi ya kucheza Yanga Princess

Pacome amecheza ovyo sana.
Huyu kijana pombe na maisha yake Masaki yameua kipaji chake, hana fitness kabisa
Coach Saed mpige bench Pacome hana fitness japo ana talent kubwa mpo nafasi Farid au Shekhan

Max, Muda, Yao mmeonyesha game nzuri mno

Musonda ni mchezaji wa kawaida mno , hachezi kama striker anazulula tu, hasimami mbele, coach Saed mpe nafasi Baleke au alikuchukulia mke

Coach Saed jitahiti iwe na Mamlaka Pacome na Kibabage waweke bench Bora tucheze pungufu

Usajili leteni beki wa kushoto na huyo Boka na mambio yake kama farasi ana miguu ya vioo, mchezaji Gani anavunjika kama glass pia kiungo mkabaji
Sitaki kumwona Kibabage Yanga

Mwisho nasema Bado points 12 zipo mbele Nina Imani Yanga tunaenda Quarter finai

Yanga bingwa
Jifariji na ndoto zako za alinacha
 
Back
Top Bottom