Tathmini: Sherehe za Christmas 2023 zadorola kuliko mwaka wowote. Wananchi wakabiliwa na dhiki kubwa, haijawahi kutokea

Nafahamu lawama zako unapotaka kuzipeleka 😂
 
Sawa mkuu. Lkn huyo baba aliyeshindwa kununua nyama kwasabb bei iko juu kajitakia mwenyewe.

Kwanza kwann aliamua kuwa baba wakati hana channel ya hela?

Siyo kila mwenye uume anapaswa kuwa baba. Ubaba uendane na misuli ya kifedha
 

Kuna mambo mawili tofauti.
Mosi, wananchi wameshajua vipau mbele vya kuweka kwenye mipango yao.
Pili, wameanza kujua kuwa hakuna uhusiano wa ki mistari ya biblia (maandiko) kati ya Xmas na kuzaliwa kwa Yesu. Hivyo haiwagusi kiimani sana. Tegemea kushuka kwa shamra shamra za Xmas kadiri siku zinavyoenda.
 
Moshi mambo kama kawaida.....
 
Je Nini kifanyike badala ya kulalamika
 
Krismasi imedoda sana.
 
Kumfananisha magufuli na samia ni sawa na kufananisha chakula na mavii kwa hoja kuwa mavi nayo yanatokana na chakula .....Magufuli alikuwa chakula safi kwa nchi yetu ...ila huyu zuzu tuliyenaye sasa ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Tusubiri Idd el Fitri labda mambo yatakuwa mazuri kwa hisani ya SSH
Muarabu wa DP WORLD ATAWAPATIA KACHORI NA TENDE WAISIHARAMU WOTE NAO WAKISHA KULA NA KUFURAHI WATAMKABIZI BWAWA LA NYERERE NA SGR KUWA MALI YAKE MILELE DAIMA ....MAANA HATA NAYE ZUZU ALIPEWA PHD YA KUCHAMBIA AKAKABIDHI BANDARI KWA DP WORLD
 
Sikukuu Awamu ya Nne kwenda nyuma zilikuwa ambae hali yake sio nzuri anaangusha hata Kuku.

Awamu ya Tano hata robo kilo ya utumbo ilikuwa shida na hii Awamu ya sasa Matembele pia ni anasa.
Awamu ya tano watz walikuwa na faraja ya kuona haki inafanya kazi na maendeleo..nchi ilikuwa inajengwa bei ya chakula na umeme zilikuwa vizuri ..bei za mabando zilikuwa safi elimu ilikuwa bure ....usimfananishe Jpm na huyu zuzu wa mazuzu tuliye naye sasa .
 
Mmeshindwa kununua nyama ni wewe,

Kwangu Xmas ilifana sana
 
Christmass ni kwa ajili ya Wachaga na Nchi ya Kilimanjaro so utafiti ufanyike makao makuu ya Christmass.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…