Tathmini: Sherehe za Christmas 2023 zadorola kuliko mwaka wowote. Wananchi wakabiliwa na dhiki kubwa, haijawahi kutokea

Tathmini: Sherehe za Christmas 2023 zadorola kuliko mwaka wowote. Wananchi wakabiliwa na dhiki kubwa, haijawahi kutokea

Sikukuu Awamu ya Nne kwenda nyuma zilikuwa ambae hali yake sio nzuri anaangusha hata Kuku.

Awamu ya Tano hata robo kilo ya utumbo ilikuwa shida na hii Awamu ya sasa Matembele pia ni anasa.
unalazimisha watu waseme jpm naye anahusika

kwa magu mambo yalikuwa poa sana

manake biashara zilikuwa zinaishi

hapakuwa na mfumuko wa bei kwenye sekta muhimu

kama mafuta na nishati
 
Awamu ya 5 na sita simesababisha umasikini mkubwa nchini.Hata watumishi wa umma Hali zao siyo nzuri ukolinganisha na nchi kama Zambia.
maguful hakuwa na mgao umeme

maguful disel na petrol bei ilikuwa chini

maguful ufisadi aliudhibiti pakubwa

maguful alikuwa na miradi mingi sana mitaan

maguful hakuwa mkopaji hovyo

maguful fedha za mashulen na hospital zilikuwa kwa wakati hazikuwah sitishwa

maguful hakuwahi chelewesha mishahara ya watumishi

maguful hakuwahi ishiwa pesa hazina

maguful hawakuwahi bembeleza majizi selikalini

maguful hakuwah pandisha bei ya pembejeo

mpaka umauti unamfika
 
Hata ma bar yalikuw na takwimu ndogo za wateja sambamba na Lodge kutokujaza
 
Sikukuu Awamu ya Nne kwenda nyuma zilikuwa ambae hali yake sio nzuri anaangusha hata Kuku.

Awamu ya Tano hata robo kilo ya utumbo ilikuwa shida na hii Awamu ya sasa Matembele pia ni anasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwahiyo awamu ya bibi imevunja rekodi kwa ugumu wa maisha.
 
unalazimisha watu waseme jpm naye anahusika
Angalao hata huyu Mama karuhusu tumseme bila kutuua,Awamu ya Tano tulipigwa marufuku hata kusema "Vyuma vimikaza" na ukisema na ukabainika "Wasiojulikana" wanatumwa waje kukuua.
 
Faraja ilikuwa kwa kwenu Wasukuma na Wahutu lakini wengine wote "Vyuma vilikuwa vimekaza"
Vyuma kukaza kwa kuzibwa njia haramu za pesa ndiyo haki yenyewe ...wewe unadhani kwanini vyuma visikaze wakati watu mlikuwa mnakula pesa za wafanya kazi hewa.
 
unalazimisha watu waseme jpm naye anahusika

kwa magu mambo yalikuwa poa sana

manake biashara zilikuwa zinaishi

hapakuwa na mfumuko wa bei kwenye sekta muhimu

kama mafuta na nishati
Uongo utakusaidia nini wewe aliyesema kama mnaona mchele bei mbaya nendeni na nyie mkalime ni nani ?
 
Vyuma kukaza kwa kuzibwa njia haramu za pesa ndiyo haki yenyewe ...wewe unadhani kwanini vyuma visikaze wakati watu mlikuwa mnakula pesa za wafanya kazi hewa.
Hoja dhaifu sana Muflis CAG wa wakati huo alisema kuna fedha zifikiazo 1.4 Trilioni zimeporwa akataka kutekwa ili auwawe na "Wasiojulikana".
 
N ngumu kupata pesa bila kufanya kazi. Tunapotaka wananchi wapate pesa ni muhimu pia kuwakumbusha kufanya kazi hasa msimu kama huu wa mvua zinanyesha. Nchi itajengwa na wananchi wenyewe.
 
Nadhan utafiti ungejikita tokea ilipotoka kauli ya nguru ili kuona msimamo wao kidini na mapokeo ya Christmas!
 
View attachment 2853740

Baada ya kufanya Tathmini kabambe huku D'Salaam na Mkoani Mbeya , kwa kweli tumegundua kwamba Sherehe za Christmas ni kama hazipo kabisa kutokana na dhiki kuu iliyosababisha Ugumu mkubwa wa Maisha ambao Wazee wengi wanadai haujawahi kuwepo kwenye nchi tangu wapate akili.

Mishahara duni ya Wafanyakazi, pamoja na kuanguka kwa uchumi kulikosabisha pia kuanguka kwa biashara kumewafanya watu wengi kula Matembele na Sembe au Dagaa mchele na Ugali wa dona. Bei ya Nyama na Mchele hazishikiki ambako kilo 1 ya nyama imefikia hadi elfu 12 huku mchele wa kuridhisha ukifikia hadi tsh 3500 kwa kilo moja.

Hata kwenye vinywaji nako ni balaa , Pombe pekee iliyong"ara kwenye mauzo inajulikana kama "Kisungura" sifahamu hasa inaitwaje , ila ni kijipombe kilicho kwenye vichupa vidogo vya plastic , mwanzoni kipombe hiki walikuwa wanakunywa vijana makapuku , lakini kwa sasa hata maofisa wanakunywa kutokana na ugumu wa maisha , hakuna Mtanzania anayeitwa Mnyonge anayeweza kununua bia angalau 5 tu , hii ni balaa !

Sababu kubwa ya mambo haya imetajwa kuwa ni Kushindwa kwa serikali ya Tanzania kuinua Uchumi wa nchi na hata uchumi wa mtu mmojammoja, dhiki inayowakabili wananchi wa Tanzania kwa sasa imezidi hata ya enzi zile za kuvaa viraka kwenye makalio na kama hali itaendelea kubaki hivi kuna hatari Watanzania kuanza kula mizizi.
Hadithi yako inatufundisha nini?
 
Hadithi yako inatufundisha nini?
FB_IMG_1703675774163.jpg
 
1. Hali mbaya ya uchumi

2. Vita huko Gaza. Taifa teule linawaangamiza wapalestina. Mauaji ni ya kutisha sana. Huko ndiko wanakodai alizaliwa Yesu ambaye ni Myahudi na wayahudi wanafanya mauaji ya halaiki huko ukanda wa Gaza.
 
Sikukuu Awamu ya Nne kwenda nyuma zilikuwa ambae hali yake sio nzuri anaangusha hata Kuku.

Awamu ya Tano hata robo kilo ya utumbo ilikuwa shida na hii Awamu ya sasa Matembele pia ni anasa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we mtu!!
 
Back
Top Bottom