Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Nani anasababisha hali mbaya ya uchumi1. Hali mbaya ya uchumi
2. Vita huko Gaza. Taifa teule linawaangamiza wapalestina. Mauaji ni ya kutisha sana. Huko ndiko wanakodai alizaliwa Yesu ambaye ni Myahudi na wayahudi wanafanya mauaji ya halaiki huko ukanda wa Gaza.