sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,208
- 2,525
unalazimisha watu waseme jpm naye anahusikaSikukuu Awamu ya Nne kwenda nyuma zilikuwa ambae hali yake sio nzuri anaangusha hata Kuku.
Awamu ya Tano hata robo kilo ya utumbo ilikuwa shida na hii Awamu ya sasa Matembele pia ni anasa.
bora mkoani sio darKama huna pesa usihamie Dar
maguful hakuwa na mgao umemeAwamu ya 5 na sita simesababisha umasikini mkubwa nchini.Hata watumishi wa umma Hali zao siyo nzuri ukolinganisha na nchi kama Zambia.
Mbowe alipata mbege?😎Hata huko hali si nzuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwahiyo awamu ya bibi imevunja rekodi kwa ugumu wa maisha.Sikukuu Awamu ya Nne kwenda nyuma zilikuwa ambae hali yake sio nzuri anaangusha hata Kuku.
Awamu ya Tano hata robo kilo ya utumbo ilikuwa shida na hii Awamu ya sasa Matembele pia ni anasa.
Angalao hata huyu Mama karuhusu tumseme bila kutuua,Awamu ya Tano tulipigwa marufuku hata kusema "Vyuma vimikaza" na ukisema na ukabainika "Wasiojulikana" wanatumwa waje kukuua.unalazimisha watu waseme jpm naye anahusika
Faraja ilikuwa kwa kwenu Wasukuma na Wahutu lakini wengine wote "Vyuma vilikuwa vimekaza"Awamu ya tano watz walikuwa na faraja
Vyuma kukaza kwa kuzibwa njia haramu za pesa ndiyo haki yenyewe ...wewe unadhani kwanini vyuma visikaze wakati watu mlikuwa mnakula pesa za wafanya kazi hewa.Faraja ilikuwa kwa kwenu Wasukuma na Wahutu lakini wengine wote "Vyuma vilikuwa vimekaza"
Uongo utakusaidia nini wewe aliyesema kama mnaona mchele bei mbaya nendeni na nyie mkalime ni nani ?unalazimisha watu waseme jpm naye anahusika
kwa magu mambo yalikuwa poa sana
manake biashara zilikuwa zinaishi
hapakuwa na mfumuko wa bei kwenye sekta muhimu
kama mafuta na nishati
Hoja dhaifu sana Muflis CAG wa wakati huo alisema kuna fedha zifikiazo 1.4 Trilioni zimeporwa akataka kutekwa ili auwawe na "Wasiojulikana".Vyuma kukaza kwa kuzibwa njia haramu za pesa ndiyo haki yenyewe ...wewe unadhani kwanini vyuma visikaze wakati watu mlikuwa mnakula pesa za wafanya kazi hewa.
Hadithi yako inatufundisha nini?View attachment 2853740
Baada ya kufanya Tathmini kabambe huku D'Salaam na Mkoani Mbeya , kwa kweli tumegundua kwamba Sherehe za Christmas ni kama hazipo kabisa kutokana na dhiki kuu iliyosababisha Ugumu mkubwa wa Maisha ambao Wazee wengi wanadai haujawahi kuwepo kwenye nchi tangu wapate akili.
Mishahara duni ya Wafanyakazi, pamoja na kuanguka kwa uchumi kulikosabisha pia kuanguka kwa biashara kumewafanya watu wengi kula Matembele na Sembe au Dagaa mchele na Ugali wa dona. Bei ya Nyama na Mchele hazishikiki ambako kilo 1 ya nyama imefikia hadi elfu 12 huku mchele wa kuridhisha ukifikia hadi tsh 3500 kwa kilo moja.
Hata kwenye vinywaji nako ni balaa , Pombe pekee iliyong"ara kwenye mauzo inajulikana kama "Kisungura" sifahamu hasa inaitwaje , ila ni kijipombe kilicho kwenye vichupa vidogo vya plastic , mwanzoni kipombe hiki walikuwa wanakunywa vijana makapuku , lakini kwa sasa hata maofisa wanakunywa kutokana na ugumu wa maisha , hakuna Mtanzania anayeitwa Mnyonge anayeweza kununua bia angalau 5 tu , hii ni balaa !
Sababu kubwa ya mambo haya imetajwa kuwa ni Kushindwa kwa serikali ya Tanzania kuinua Uchumi wa nchi na hata uchumi wa mtu mmojammoja, dhiki inayowakabili wananchi wa Tanzania kwa sasa imezidi hata ya enzi zile za kuvaa viraka kwenye makalio na kama hali itaendelea kubaki hivi kuna hatari Watanzania kuanza kula mizizi.
Hadithi yako inatufundisha nini?
Word Bank imesema fedha zinahodhiwa na wachache,au mnataka Mapinduzi yafanyike?Kama huna pesa usihamie Dar
Umeandika kikakamavu sana !Word Bank imesema fedha zinahodhiwa na wachache,au mnataka Mapinduzi yafanyike?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we mtu!!Sikukuu Awamu ya Nne kwenda nyuma zilikuwa ambae hali yake sio nzuri anaangusha hata Kuku.
Awamu ya Tano hata robo kilo ya utumbo ilikuwa shida na hii Awamu ya sasa Matembele pia ni anasa.
Mawazo yako ni mazuri je nani atayafanyia kaziKuyaondoa mafisadi na wezi wote.