2. Vita huko Gaza. Taifa teule linawaangamiza wapalestina. Mauaji ni ya kutisha sana. Huko ndiko wanakodai alizaliwa Yesu ambaye ni Myahudi na wayahudi wanafanya mauaji ya halaiki huko ukanda wa Gaza.
N ngumu kupata pesa bila kufanya kazi. Tunapotaka wananchi wapate pesa ni muhimu pia kuwakunbisha kufanya kazi hasa msimu kama huu mvua zinanyesha. Nchi itajengwa na wananchi wenyewe.