Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
I salute you kinsmen.
Viongozi nawapongeza sana kwa kuwa na jicho makini safari hii .
Kumleta Mwenda mchezaji mwenye kujituma na versatile player .
Mwenda anajua kucheza kulia na kushoto pia winga anacheza tu .
STRENGTH ZAKE.
-ni versatile player,
Anaweza cheza both left and right.
-Ana uwezo mkubwa wa kukaba
-mbishi na mvumilivu dakika zote
-energetic
-unaweza kumtumia kwenye mifumo mingi tofauti
Huyu atatusaidia, wamefanya kuepusha gharama za kuimport foreign player pia nafasi yake kama mzawa haiwezi kuathiri nafasi za kigeni kujaa yanga.
UDHAIFU
-huwa mara nyingine anakuwa off position sana hasa dakika za mwishoni
-Sio mzuri sana katika kushambulia, uwiano wa kupanda na kushuka ni mzuri lakini kushambulia sio sana
Hilo linafundishika.
KUHUSU SAKATA LA BEKI WA KATI KATI YA LAWI,CHE MALONE,MAKAME.
habari za uhakika ni kuwa ,huko msimbazi maji yamezidi unga
Beki che malone fondo yuko katika mgogoro na team yake kuhusu swala la mkataba .
Amedai mkataba wake uongezwe maslahi hasa ukizingatia unaisha na umebaki miezi nane!
Hivyo akifikisha miezu 6 anakuwa free kusaini pre contract sehemu nyingine na anavutiwa na yanga ambao uongozi umeshampa ofa aifikirie..
Na kama akiamua kuja yanga basi tutakuwa tumemaliza na kufunga swala la beki wa kati kwani kutakuwa na uwiano sawa sawa .
Tumeshuhudia mara kwa mara kukosekana kwa mabeki tegemeo yanga na nchini Bacca, Job, Mwamnyeto pia kulivyopelekea tukapoteza michezo kadhaa hapa kati.
Hivyo malone ataleta uwiano sawa kwamba akitoka Job basi yeye ataingia au akitoka Bacca basi yeye atacheza..
Kuhusu Lawi tafadhali viongozi msiingie mkenge kabisa kwa huyu kijana, dau wanalodai coastal la milioni 250 ni nyingi kuliko kiwango chake halisi,
Lawi ameshuka kiwango kwa kiasi kikubwa sana tangu sakata lake la simba na coastal na amecheza mara chache sana zaidi ya kushinda ofisini kukimbizana na viongozi kwenye simu! Hatufai na coastal wanatufanyia biashara ya kutukomoa ..
KUHUSU LAURIAN MAKAME.
Huyu ni beki wa kati pale Fountain Gate.
Nadhani badala ya kumchukua lawi ni afadhali huyu anafaa sana
Licha ya Fountain ukuta wao kufungwa sana bado makame ni mzuri sana anaangushwa na kiungo kibovu pale kati lakini ana sifa za kucheza yanga
STRENGTH ZAKE.
-Utulivu mkubwa akiwa na mpira na hata akiwa off the ball
-kiongozi mzuri akiwa uwanjani
-nidhamu kubwa, ni ngumu kupewa kadi au kujihusisha na ugomvi
-uwezo mkubwa wa kupiga pasi hasa long pass .
-man to man marking.
Huyu anatufaa hata umri wake pia ni sahihi sana.