Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #21
Usajili mzuri lazima utoe pesa ndefu? Hivi mashabiki wa Simba kwanini mnapenda kuonesha ujinga wenu namna hii?Che Malone? Ni jambo zuri kujipa moyo. Ukweli ni kwamba ukiona Yanga wanahangaika na wachezaji wa mkopo waliokosa nafasi kwenye timu watokazo ujue kabisa sera ya kubana matumizi imeingia klabuni. Ilianza taratibu kwa kumsainisha Kagoma mkataba wa miaka miwili kwa mil 30,ukiondoa kuongeza mkataba Azizi Ki, ni mchezaji gani wa Yanga amesajiliwa kwa hela nyingi? Abuya? Baleke? Chama? Andambwile? Ushahidi mzuri ni timu kushindwa kulipa madeni ya wachezaji kwa wakati hadi kufungiwa usajili.
Kutoa pesa ndefu ni sifa? Hivi katika team ambayo inasajili wachezaji wa madafu majalalani kuna wanaoizidi simba kwa hilo? Hata mishahara tu ya kiwaki mnawalipa wachezaji .
Sasa malone buyout clouse yake hata million 300 haifiki yanga itamshindwa ikimtaka?
Sikuhizi team zinasajili kutokana na mahitaji kama mchezaji anapatikana kwa bei nafuu na mzuri kwanini asichukuliwe?
Mwenda amesaini na kutambulishwa tu ila dirisha la usajili bado ndiyo maana jina lake halijapelekwa kwenye system wewe unaleta mambo ya mikopo na madeni!
Jitathmini