Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #41
Hata million 200 pale hakuna achilia mbali hiyo 300S
Simba kaokota wachezaji kutoka timu ndogo ndogo wachezaji wao wote kwa nafuu,,akuna mchezaji pale waliemsajili msimu huu mwenye thamani inayozidi 300milioni,,ayupo!
Malone alikuwa mchezaji wa kawaida huko ubora ameupatia simba hapo aliletwa kwa pesa mbuzi kabisa
Hata kateam kake walikuwaga CAFCl wakaburuza mkia kwa point 0 walikuwaga group moja Al ahly
Pengine asingekuja Tanzania asingefikia hapa alipo Cameroon hakuna ligi pale na huko West Africa