Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #61
Tunaangalia mahitaji ya team mbona kama mnaumia sana?Ndo kilichobakia Simba iache wachezaji yanga muwabebe. Ndo kusema Hela ya kuvunja mikataba hamna!?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaangalia mahitaji ya team mbona kama mnaumia sana?Ndo kilichobakia Simba iache wachezaji yanga muwabebe. Ndo kusema Hela ya kuvunja mikataba hamna!?.
Mzee unajichanganya sana huu msimu wa nne yanga bado yuko na classMisimu minne mfululizo na upi? Simba ndio walikuwa kwenye peak misimu minne mfulululizo ndio maana walichukua kombe la ligi misimu minne mfululizo. Wewe ingawa umeanzisha mada but umevamia mjadala wa class na form ambao hata huuwezi maana unadhani unanipinga kumbe unakubaliana nami, mie nimesema ingawa wachezaji wa Simba akina Ngoma, Saido, Chama na Miquisone walikuwa na class ya juu kuliko akina Pacome,Max na Aziz Ki waliokuwa kwenye form but Yanga walikuwa mabingwa.Wewe bila kuelewa umeleta hoja ubora ambao mie sikuzungumzia
Hapa ndio unakuja kwenye hoja yangu, hao akina Aziz Ki, Pacome, Baca, Diara, Aucho baada ya kukaa muda mrefu sasa viwango vimeshuka, ndio maana unaona Baca analambishwa mchanga na akipitwa anavuta na kusababisha penati, Baca wa msimu jana hakuwa hivyo, Aziz Ki ndio kashuka sana, hadi kufukia mechi 11 Aziz Ki msimu jana alikuwa na magoli 10,sasa hivi analo 1 tena la penati.Kucheza mechi nyingi kwa nguvu kunazalisha majeruhi na kushuka viwango, Aucho, Yao na Mudathir wameshuka viwango. Sasa kama huelewi hata kwa takwimu zilizo wazi utaelewa nini?Class ni nini kwanza?
Inapimwa na nini
Jibu ni kuwa inapimwa kwa kukaa kwenye form kwa muda mrefu ndiyo inazalisha class
Hao uliowataja wengi walishaisha wanacheza kwa kulazimisha na uzoefu tu akiwemo huyo ngoma na kapombe hata chama anacheza kwa uzoefu tu
Kukaa misimu minne mfululizo kwenye peak bila kushuka nayo ni class ambayo ndiyo hao kina aziz ki na wengine kama Aucho na form zao zikaleta matunda yaani makombe
Sasa hizo class za kina ngoma tangu aje kaambulia mapinduzi cup na ngao ya jamii, ameshaisha alikuja Simba akiwa kashachoka na katumika sana hata sasa ngoma anacheza sababu ya uzoefu tu lakini wanamkimbiza huyo ngoma hawezi kumkuta kwa sasa hata yusuph kagoma hawezi!
Usidanganye, Yanga kachukua kombe mara 3 mfululizo, Simba walichukua mara 4 mfululizo. Wewe ndio unajichanganganya. Sasa hivi Yanga imedrop maana wachezaji wake muhimu viwango vimeshukaMzee unajichanganya sana huu msimu wa nne yanga bado yuko na class
Aziz ana class sio form msimu wa ngapi anacheza ligi kuu kwa kiwango bora? Kwako class ni nini? Mbona unajikanyaga sana baba eeh?
Labda useme pacome na Max ndiyo walikuwa kwenye form sio aziz yeye ameshaonesha class yake tayari
Class bila mafanikio hiyo class gani? Labda class darasa la kusomea hebu ngoja nikuache sababu umekunywa maji ya bendera hueleweki unabishania kipi hasa
Hao uliowataja hawakuwa kwenye class wakati mara zote hizo yanga inachukua ubingwa sio kweli acha uongonimesema ingawa wachezaji wa Simba akina Ngoma, Saido, Chama na Miquisone walikuwa na class ya juu kuliko akina Pacome,Max na Aziz Ki waliokuwa kwenye form but Yanga walikuwa mabingwa.Wewe bila kuelewa umeleta hoja ubora ambao mie sikuzungumzia
Uyo jamaa nadhani ni muha wa kigoma,,unaweza kubishana na muha mpaka keshokutwa ni wabishi balaa!Mzee unajichanganya sana huu msimu wa nne yanga bado yuko na class
Aziz ana class sio form msimu wa ngapi anacheza ligi kuu kwa kiwango bora? Kwako class ni nini? Mbona unajikanyaga sana baba eeh?
Labda useme pacome na Max ndiyo walikuwa kwenye form sio aziz yeye ameshaonesha class yake tayari
Class bila mafanikio hiyo class gani? Labda class darasa la kusomea hebu ngoja nikuache sababu umekunywa maji ya bendera hueleweki unabishania kipi hasa
Nimejiridhisha kuwa hujui maana ya class na form, pia nimejirithisha bila mashaka yoyote kuwa kati yenu wawili hayupo JK wala mzee Sunday Manara ambao nina uhakika ningewaambia kuwa Yanga hii imeshuka kiwango kulinganisha na misimu mitatu nyuma wangenielewaHao uliowataja hawakuwa kwenye class wakati mara zote hizo yanga inachukua ubingwa sio kweli acha uongo
Miquisone alikuwa kwenye form kabla hajauzwa kwenda Al ahly sasa huyu aliyerudi akacheza na kina saido hiyo class yake ilikuwa wapi? Hebu tupe number zake tangu aliporudi kutoka Egypt! Weka hapa na mpaka sasa huko kwao kaenda bado hajajipata class gani hiyo na wakati tunasema class Is permanent? Kaporomoka huyo sio kushuka tu.
Hapo angalau ni chama unaweza kusema bado anaendelea na class yake ya juu hao wengine hawajawahi kuwa kwenye class halafu yanga huku yanga inachukua ubingwa bali walikuwa na uwezo mdogo sio class ila uwezo wao mdogo uliishia hapo!
Full stop
Hiyo nj form imeshuka kidogo ila watarudi muda wowote ule wao ni class walishaionyesha lakini bado ukaambiwa ukawa unambishia Makavuli naye alikwambia kitu hiko hiko ..Hapa ndio unakuja kwenye hoja yangu, hao akina Aziz Ki, Pacome, Baca, Diara, Aucho baada ya kukaa muda mrefu sasa viwango vimeshuka, ndio maana unaona Baca analambishwa mchanga na akipitwa anavuta na kusababisha penati, Baca wa msimu jana hakuwa hivyo, Aziz Ki ndio kashuka sana, hadi kufukia mechi 11 Aziz Ki msimu jana alikuwa na magoli 10,sasa hivi analo 1.Kucheza mechi nyingi kwa nguvu kunazalisha majeruhi na kushuka viwango, Aucho, Yao na Mudathir wameshuka viwango. Sasa kama huelewi hata kwa takwimu zilizo wazi utaelewa nini?
Umepanick mzee wewe tulia kila mmoja huko ukoloni atachanganyikiwa kwa wakati wake kama wewe hivi .Nimejiridhisha kuwa hujui maana ya class na form, pia nimejirithisha bila mashaka yoyote kuwa kati yenu wawili hayupo JK wala mzee Sunday Manara ambao nina uhakika ningewaambia kuwa Yanga hii imeshuka kiwango kulinganisha na misimu mitatu nyuma wangenielewa
Huyu mzee nadhani anatoka kigoma kweli maana hapa utaenda mpaka kesho aisee halafu anazunguka zunguka haelweki anaenda huku anarudi kule ..!🤣🤣Uyo jamaa nadhani ni muha wa kigoma,,unaweza kubishana na muha mpaka keshokutwa ni wabishi balaa!
Ni fatique wewe zee jinga sio viwango hivi tukutandike fimbo ndiyo utaelewa?Usidanganye, Yanga kachukua kombe mara 3 mfululizo, Simba walichukua mara 4 mfululizo. Wewe ndio unajichanganganya. Sasa hivi Yanga imedrop maana wachezaji wake muhimu viwango vimeshuka
Na inashangaza sana wako hoi bin taaban hadi kumchukua Isra aliyesugua benchi miaka 3 bila mafanikio.Hahaha
inafurahisha kuona mtani ukiwatamani wachezaji wetu
Si alipigwa bench sababu ya uchawi wenu na machezajj yenu yanapigana misumari na fitna?Na inashangaza sana wako hoi bin taaban hadi kumchukua Isra aliyesugua benchi miaka 3 bila mafanikio.
Nafurahi kuwa kwa miaka mingi Yanga imekuwa ikitamani kuwa kama Simba na mnajitahidi sana hasa katika kupata wachezaji walioitumikia Simba. Ila kiukweli kwa sera yenu ya usajili sasa hivi mchezaji ambaye mtampata kutoka Simba ni yule aliyeandoka akaenda timu nyingine ndiyo mtamchukua ama ambaye sisi hatuna mahitaji nae. Kwa Che Malone mnaota ndiyo za mchanaI salute you kinsmen.
Viongozi nawapongeza sana kwa kuwa na jicho makini safari hii .
Kumleta Mwenda mchezaji mwenye kujituma na versatile player .
Mwenda anajua kucheza kulia na kushoto pia winga anacheza tu .
STRENGTH ZAKE.
-ni versatile player,
Anaweza cheza both left and right.
-Ana uwezo mkubwa wa kukaba
-mbishi na mvumilivu dakika zote
-energetic
-unaweza kumtumia kwenye mifumo mingi tofauti
Huyu atatusaidia, wamefanya kuepusha gharama za kuimport foreign player pia nafasi yake kama mzawa haiwezi kuathiri nafasi za kigeni kujaa yanga.
UDHAIFU
-huwa mara nyingine anakuwa off position sana hasa dakika za mwishoni
-Sio mzuri sana katika kushambulia, uwiano wa kupanda na kushuka ni mzuri lakini kushambulia sio sana
Hilo linafundishika.
KUHUSU SAKATA LA BEKI WA KATI KATI YA LAWI,CHE MALONE,MAKAME.
habari za uhakika ni kuwa ,huko msimbazi maji yamezidi unga
Beki che malone fondo yuko katika mgogoro na team yake kuhusu swala la mkataba .
Amedai mkataba wake uongezwe maslahi hasa ukizingatia unaisha na umebaki miezi nane!
Hivyo akifikisha miezu 6 anakuwa free kusaini pre contract sehemu nyingine na anavutiwa na yanga ambao uongozi umeshampa ofa aifikirie..
Na kama akiamua kuja yanga basi tutakuwa tumemaliza na kufunga swala la beki wa kati kwani kutakuwa na uwiano sawa sawa .
Tumeshuhudia mara kwa mara kukosekana kwa mabeki tegemeo yanga na nchini Bacca, Job, Mwamnyeto pia kulivyopelekea tukapoteza michezo kadhaa hapa kati.
Hivyo malone ataleta uwiano sawa kwamba akitoka Job basi yeye ataingia au akitoka Bacca basi yeye atacheza..
Kuhusu Lawi tafadhali viongozi msiingie mkenge kabisa kwa huyu kijana, dau wanalodai coastal la milioni 250 ni nyingi kuliko kiwango chake halisi,
Lawi ameshuka kiwango kwa kiasi kikubwa sana tangu sakata lake la simba na coastal na amecheza mara chache sana zaidi ya kushinda ofisini kukimbizana na viongozi kwenye simu! Hatufai na coastal wanatufanyia biashara ya kutukomoa ..
KUHUSU LAURIAN MAKAME.
Huyu ni beki wa kati pale Fountain Gate.
Nadhani badala ya kumchukua lawi ni afadhali huyu anafaa sana
Licha ya Fountain ukuta wao kufungwa sana bado makame ni mzuri sana anaangushwa na kiungo kibovu pale kati lakini ana sifa za kucheza yanga
STRENGTH ZAKE.
-Utulivu mkubwa akiwa na mpira na hata akiwa off the ball
-kiongozi mzuri akiwa uwanjani
-nidhamu kubwa, ni ngumu kupewa kadi au kujihusisha na ugomvi
-uwezo mkubwa wa kupiga pasi hasa long pass .
-man to man marking.
Huyu anatufaa hata umri wake pia ni sahihi sana.
Its Pancho
Mnamchukulia sana powa huyu sababu ni mbongovyovyote vile ila mwamnyeto afai aaminiki
Wakomae na wachezaji wa mkopo kutoka singidaChe malone hauzwi wala hakopeswi
Ngoja dirisha kubwa uone umafia wa Eng. Nakupa nyepesi hamtakua nae msimu ujao.Endeleeni kuota, haina gharama yoyote mtu kuota.
Ahaa, kwahy mmemuona chemalone tu wengine wakutoka maeneo mengine hakuna!?.