Tathmini: ujio wa Mwenda ni sawa, ila lameck lawi hatufai ni bora che malone au makame..!

Tathmini: ujio wa Mwenda ni sawa, ila lameck lawi hatufai ni bora che malone au makame..!

Mzee hebu acha kutupotezea muda wetu sawa fanya mambo mengine tu unaongea vitu nonsense kabisa
Bacca, job, pacome,aziz ki,max wa msimu uliopita ndiyo walizidiwa ubora na hizo takataka kweli?

Hata simba wenzako wakiona hili watakushangaa
Kwanza mwenye lile bango la 7-2 aweke hapa
Hakuna sehemu aliyotaja neno ubora kasema class kwa maana ya daraja.
 
MC ALGER 2 YANGA 0

AL HILAL 2 YANGA 0

TABORA 3 YANGA 0

AZAM 1 YANGA 0

MSIMAMO WA KUNDI LA YANGA KWENYE MICHUANO YA CAF:
1.AL HILAL
2.MC ALGER
3.TP MAZEMBE
4.YANGA.
 
SINGIDA BLACK STARS WANAFANYA USAFI KWA KUTOA MAGARASA YOTE YANAYOONGEZA BUDGET YA TIMU BILA SABABU YA MSINGI WAMEANZA NA MWENDA KITUO KINACHOFUATA NI GUEDE.

YANGA HAWANA HELA YA KUSAILI WACHEZAJI WAZURI NDIO MAANA WANAOKOTEZA WACHEZAJI MAJALALANI KAMA MWENDA AMBAYE HATA SBS TU ANAANZIA BENCHI HANA NAFASI.
 
Unajikanyaga sana sana
Kuna tume ulisema wachezaji wa yanga form imeshuka, kisa simba wanaongoza ligi na camara kafanya saves nyingi na ahoua ana assist kuwazidi sawa eeh?

Halafu tukakwambia ni form imeshuka sio class , class itarudi anytime bado ukakaza fuvu mzee shida nini?

Umeleta hayo unayoona mafanikio ya simba kwa sasa lakini bado unadaj msimu ule uliopita wachezaji wa Simba walikuwa na class kubwa kuliko wale wa yanga kwa mafanjkio gani walioleta?

Anzia kuhesabu msimu wa nne huu class ya simba imeleta nini? Kuizidi ile ya yanga?

Unajichanganya mwenyewe mzee wetu
Sikuwahi kujua we jamaa ni kila hivi aisee
 
Kwa Makame naungana na wewe, Lawi yupo raw sana, hiyo bei ya kukomoana walah
Mimi nawaelewa coastal union,take it or leave it,hawawezi uza mchezaji mwingine Kwa waliopo Kwa bei hio,na mara nyingi hio hela hailipwi yote inakua Kwa instalment/awamu ila lazima utangulize kiasi.
Umri wake bado mdogo sana Kwa beki anamuda wa 10yrs plus mpk aache kucheza.
Mwenda mzuri kwakua kuna akina Faridi watafanya hio kazi
 
But ndiye beki anayeongoza kwa magoli NBC league, ndiye mchezaji pekee aloyeingia kwenye kikosi bora cha wiki cha CAF, pia ndye beki pekee aliyeingia kwenye kikosi bora cha wachezaji wa ndani na wa nje wa Cameroon.Kama bado umamdegrade hadi sasa inabidi utathmini ufahamu wako juu ya soka
Caf hawana kikosi cha wiki kwenye mashindano ya shirikisho, hizo zinazotoa kikosi cha wiki kwenye mashindano ya shirikisho sio CAF wenyewe. Tembelea kurasa zote za CAF kama utakutana na hilo.
 
Caf hawana kikosi cha wiki kwenye mashindano ya shirikisho, hizo zinazotoa kikosi cha wiki kwenye mashindano ya shirikisho sio CAF wenyewe. Tembelea kurasa zote za CAF kama utakutana na hilo.
Hiyo ni kwa mujibu wa African Soccer Zone, ok tuiache hiyo, ni beki gani anaongoza kwa magoli NBC, Che Malone ameiongoza beki ya Simba kuwa imefungwa magoli machache zaidi NBC league, acha yule mwingine aliyeshuka kiwango ambaye timu zimemfanya uchochoro. Siku hizi akizidiwa hana option zaidi ya kuvuta washambuliaji
 
Attachments

  • Screenshot_20241212-150144.png
    Screenshot_20241212-150144.png
    828.3 KB · Views: 2
Mwenda alikuwa sio wenu tena
Na malone tutamchukua tukitaka sababu tunabeba mchezaji kama anatufaa hatucheki na wowote sisi
Subirini Kwanza tushibe halafu mje Kula makombo Kama kawaida yenu. Malizeni Kwanza makombo ' Mwenda' mkimaliza mseme, Labda mtapata tumeshiba muambulie makombo mengine!
 
Mzee mbona unapenda kujiaibisha?
Msimu uliopita matampi si alibeba tuzo ya kipa bora ina maana amemzidi diara ubora haya yuko wapi msimu huu?

Form is temporary and class is permanent.
Ligi bado mbichi kabisa wewe unaconclude kama vile imeisha tayari?

Uzuri tunajua mwisho wa msimu bingwa nani tunajua msimu wa nne mnaanzaga hivi hivi na mwisho yanga bingwa.

Hebu ngoja tumuite mwanasimba mwenzio makaveli10 amzungumzie huyo Ahoua maneno matatu tu ndiyo ujue wewe unakurupuka sana
Hiyo takataka sitaki kuisikia, mimi sio muumini saana wa mpira takwimu, nahukumu kwa kile ninachokiona. AHOUA wa takwimu na wa kumuona live ni tofauti mnoo, nilimkataa toka game za mwanzo kabisa wadau wengi wakabisha, siku, zinavyoenda kambi ya kumkubali inapungua pamoja na takwimu zake.
 
Che malon ni beki mbovu kabisa, hana kasi, mzito na hakabi vizuri, Yanga makini haiwezekani kumleta beki wa ovyo kama che malon

Lawi ni mzuri sema Coast union wanataka million 250 ambao ni mkwanja mrefu

Huyo Makame ndo iyo kabisa
Ni kweli kwa sasa ni beki mbovu mno simba wakimwacha atakuja kuwa bonge la beki.
 
Mwenda alikuwa sio wenu tena
Na malone tutamchukua tukitaka sababu tunabeba mchezaji kama anatufaa hatucheki na wowote sisi
Subirini Kwanza tushibe halafu mje Kula makombo Kama kawaida yenu. Malizeni Kwanza makombo ' Mwenda' mkimaliza mseme, Labda mtapata tumeshiba muambulie makombo mengine!
 
I salute you kinsmen.

Viongozi nawapongeza sana kwa kuwa na jicho makini safari hii .
Kumleta Mwenda mchezaji mwenye kujituma na versatile player .

Mwenda anajua kucheza kulia na kushoto pia winga anacheza tu .

STRENGTH ZAKE.
-ni versatile player,
Anaweza cheza both left and right.
-Ana uwezo mkubwa wa kukaba
-mbishi na mvumilivu dakika zote
-energetic
-unaweza kumtumia kwenye mifumo mingi tofauti

Huyu atatusaidia, wamefanya kuepusha gharama za kuimport foreign player pia nafasi yake kama mzawa haiwezi kuathiri nafasi za kigeni kujaa yanga.

UDHAIFU
-huwa mara nyingine anakuwa off position sana hasa dakika za mwishoni
-Sio mzuri sana katika kushambulia, uwiano wa kupanda na kushuka ni mzuri lakini kushambulia sio sana
Hilo linafundishika.

KUHUSU SAKATA LA BEKI WA KATI KATI YA LAWI,CHE MALONE,MAKAME.
habari za uhakika ni kuwa ,huko msimbazi maji yamezidi unga

Beki che malone fondo yuko katika mgogoro na team yake kuhusu swala la mkataba .
Amedai mkataba wake uongezwe maslahi hasa ukizingatia unaisha na umebaki miezi nane!

Hivyo akifikisha miezu 6 anakuwa free kusaini pre contract sehemu nyingine na anavutiwa na yanga ambao uongozi umeshampa ofa aifikirie..

Na kama akiamua kuja yanga basi tutakuwa tumemaliza na kufunga swala la beki wa kati kwani kutakuwa na uwiano sawa sawa .

Tumeshuhudia mara kwa mara kukosekana kwa mabeki tegemeo yanga na nchini Bacca, Job, Mwamnyeto pia kulivyopelekea tukapoteza michezo kadhaa hapa kati.

Hivyo malone ataleta uwiano sawa kwamba akitoka Job basi yeye ataingia au akitoka Bacca basi yeye atacheza..

Kuhusu Lawi tafadhali viongozi msiingie mkenge kabisa kwa huyu kijana, dau wanalodai coastal la milioni 250 ni nyingi kuliko kiwango chake halisi,

Lawi ameshuka kiwango kwa kiasi kikubwa sana tangu sakata lake la simba na coastal na amecheza mara chache sana zaidi ya kushinda ofisini kukimbizana na viongozi kwenye simu! Hatufai na coastal wanatufanyia biashara ya kutukomoa ..

KUHUSU LAURIAN MAKAME.
Huyu ni beki wa kati pale Fountain Gate.

Nadhani badala ya kumchukua lawi ni afadhali huyu anafaa sana
Licha ya Fountain ukuta wao kufungwa sana bado makame ni mzuri sana anaangushwa na kiungo kibovu pale kati lakini ana sifa za kucheza yanga

STRENGTH ZAKE.
-Utulivu mkubwa akiwa na mpira na hata akiwa off the ball
-kiongozi mzuri akiwa uwanjani
-nidhamu kubwa, ni ngumu kupewa kadi au kujihusisha na ugomvi
-uwezo mkubwa wa kupiga pasi hasa long pass .
-man to man marking.

Huyu anatufaa hata umri wake pia ni sahihi sana.

Its Pancho
Che malon amekuja vp tena apo,

Yaani mnaota hadi mchana wa jua kali? Malaria mbaya sana
 
Kusema kwamba Yanga imempa ofa nzuri Che Malone sio kweli. Na kama ni kweli, basi kama unaisifia Yanga bali unaiangamiza kwa maana itakuwa imevunja Sheria kwa kuongea na mchezaji mwenye mkataba wa zaidi ya miezi sita!

Lakini sishangai kwa Yanga kufanya hivyo kwa maana idara yao ya sheria, hata Sheria Ngowi anaweza kuiendesha! Ahahahahaha!!!
 
Ndiyo a complete CB
Haina haja ya kuanza kuwa na mashaka na huyu tayari alishaonesha ubora wake na bado anauonesha mpaka sasa kuliko kubeba lawi yule

Pale simba sisi wote mashahidi Malone anacheza na Hamza au karaboue ila yeye kukaa banch ngumu sana na soo injury prone, fit when needed..
Msubirieni mpaka mwaka 2030

Subira ileile mliyoitumia kwa Chama itumieni na kwa Che Malone.
 
Back
Top Bottom