Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #41
Hata million 200 pale hakuna achilia mbali hiyo 300S
Simba kaokota wachezaji kutoka timu ndogo ndogo wachezaji wao wote kwa nafuu,,akuna mchezaji pale waliemsajili msimu huu mwenye thamani inayozidi 300milioni,,ayupo!
Mtu mzima ana familia anakubali kudanganywa kitoto namna hiyo?Nimemvua vyeo uyo jamaa alipotaja tu jina LA magori kwamba ndie alisema buy out clause ya wachezaji wao ni $milioni Moja nikajua tiyali alishaingia mkenge uyu wa propaganda uchwara za wakina magori!
Mzee mbona unapenda kujiaibisha?Ungekuwa na akili japo kidogo ungeelewa nilichoandika,siwajibiki na ugumu wa kichwa chako katika kuelewa kwa kuwa nimejiridhisha kuwa una uelewa mdogo sana wa soka,huwezi kujadili kwa hoja, kule nyuma umejonasibu kuwa Simba imesajili magarasa, mie nimekutaka unitajie hata mchezaji mmoja wa Yanga mwenye takwimu bora (goals +assissts)kumzidi Ahoua umekimbia bila kujibu, ni kipa yupi mwenye clean sheets na saves nyingi NBC league kuliko Camara? Ni timu ipi ina magoli mengi? Ni timu ipi ina magoli machache? Ni timu ipi ina points nyingi kati ya Simba na Yanga. Hiyo ndio timu bora.
Umepota kwenye akili yangu. Sijawahi kumuelewa huyu che malone, naona ni beki wa kawaida sana hawezi kuleta ushindani wa namba pale yangaChe malon ni beki mbovu kabisa, hana kasi, mzito na hakabi vizuri, Yanga makini haiwezekani kumleta beki wa ovyo kama che malon
Babu class ya wachezaji inabaki pale pale aiondoki,,kuongoza kwa timu yako ligi na hizo clean sheet unazotaja za Camara sijui vitu Gani aiondoi class waliyonayo yanga hapa Tanzania lielewe hilo acha kushupaza shingo,,Icho walichonacho Simba kwa sasa ni form na sio class,,Class ya wachezaji wa yanga utalinganisha na wachezaji wa Simba? Kipa anayedaka first eleven ya timu ya taifa ya mali utamlinganisha na uyo wa guinea?Ungekuwa na akili japo kidogo ungeelewa nilichoandika,siwajibiki na ugumu wa kichwa chako katika kuelewa kwa kuwa nimejiridhisha kuwa una uelewa mdogo sana wa soka,huwezi kujadili kwa hoja, kule nyuma umejonasibu kuwa Simba imesajili magarasa, mie nimekutaka unitajie hata mchezaji mmoja wa Yanga mwenye takwimu bora (goals +assissts)kumzidi Ahoua umekimbia bila kujibu, ni kipa yupi mwenye clean sheets na saves nyingi NBC league kuliko Camara? Ni timu ipi ina magoli mengi? Ni timu ipi ina magoli machache? Ni timu ipi ina points nyingi kati ya Simba na Yanga. Hiyo ndio timu bora.
Che malon ni beki mbovu kabisa, hana kasi, mzito na hakabi vizuri, Yanga makini haiwezekani kumleta beki wa ovyo kama che malon
Lawi ni mzuri sema Coast union wanataka million 250 ambao ni mkwanja mrefu
Huyo Makame ndo iyo kabisa
Kijana, uwe unasoma vizuri na kuelewa kabla ya kujibu, nimesema Che Malone aliingia kwenye kikosi bora cha wiki cha CAF, maana yake Shirikisho na Klabu Bingwa.Tazama hiki kikosi halafu useme kama Percy Tau anacheza shirikisho.Shirikisho eeh?
Sisi hatutaki porojo kama huko shirikisho tulikuwepo na tulishaingiza wachezaji mpaka mwamnyeto naye alishaingiaga kwenye hivyo vikosi vya week
Tunataka mfike tu final kabisa acha porojo
Malone tukimtaka hawezi kuchomoa kama ana kipaji cha kweli atakuja ila kama tia maji tia majj atabaki huko
Ndio maana nakuasa kusoma vizuri kabla ya kujibu,wengi wenu hukurupuka, Matampi alimzidi Diara clean sheets na sio saves, mie nimesema ni kipa yupi aliyemzidi Camara both saves and clean sheets. Ukiwa mkweli utaelewa kuwa form ya diara kwa sasa imeshuka maana magoli anayofungwa ni ya uzembe. Hii inatokana na beckline kushuka ubora, Baca wa msimu huu siye wa msimu uliopita.Sasa wewe kama unaiona Yanga hii ni sawa na msimu uliopita huo utakuwa ni muono wa kishabiki.Ubora wa Ahoua huwezi kuupima kishabiki pia, mie mwenyewe huwa namponda Ahoua kwa sababu najua anaweza kufanya zaidi ya akifanyacho, ni kama washabiki wa Yanga wabavyolalamika Aziz Ki ameshuka kiwangoMzee mbona unapenda kujiaibisha?
Msimu uliopita matampi si alibeba tuzo ya kipa bora ina maana amemzidi diara ubora haya yuko wapi msimu huu?
Form is temporary and class is permanent.
Ligi bado mbichi kabisa wewe unaconclude kama vile imeisha tayari?
Uzuri tunajua mwisho wa msimu bingwa nani tunajua msimu wa nne mnaanzaga hivi hivi na mwisho yanga bingwa.
Hebu ngoja tumuite mwanasimba mwenzio makaveli10 amzungumzie huyo Ahoua maneno matatu tu ndiyo ujue wewe unakurupuka sana
Huyo ahoua juzi tu wakawa wanamtukana kule Algeria hao hao mashabiki zake.Babu class ya wachezaji inabaki pale pale aiondoki,,kuongoza kwa timu yako ligi na hizo clean sheet unazotaja za Camara sijui vitu Gani aiondoi class waliyonayo yanga hapa Tanzania lielewe hilo acha kushupaza shingo,,Icho walichonacho Simba kwa sasa ni form na sio class,,Class ya wachezaji wa yanga utalinganisha na wachezaji wa Simba? Kipa anayedaka first eleven ya timu ya taifa ya mali utamlinganisha na uyo wa guinea?
Na vipi timu yako ni wachezaji wangapi wanaitwa timu za taifa nje ya Tanzania?
Uyo ahou licha ya takwimu zake ebu kafatilie amezipata kwenye timu za aina Gani,,anzia Tabora united, fountain gate na zilizofata utapata majibu kwamba ni mchezaji wa kawaida sana!
Umeambiwa tofautisha form na class lakini bado unajifanya huelewi kabisaKijana, uwe unasoma vizuri na kuelewa kabla ya kujibu, nimesema Che Malone aliingia kwenye kikosi bora cha wiki cha CAF, maana yake Shirikisho na Klabu Bingwa.Tazama hiki kikosi halafu useme kama Percy Tau anacheza shirikisho.
Ndio maana nakuasa kusoma vizuri kabla ya kujibu,wengi wenu hukurupuka, Matampi alimzidi Diara clean sheets na sio saves, mie nimesema ni kipa yupi aliyemzidi Camara both saves and clean sheets. Ukiwa mkweli utaelewa kuwa form ya diara kwa sasa imeshuka maana magoli anayofungwa ni ya uzembe. Hii inatokana na beckline kushuka ubora, Baca wa msimu huu siye wa msimu uliopita.Sasa wewe kama unaiona Yanga hii ni sawa na msimu uliopita huo utakuwa ni muono wa kishabiki.Ubora wa Ahoua huwezi kuupima kishabiki pia, mie mwenyewe huwa namponda Ahoua kwa sababu najua anaweza kufanya zaidi ya akifanyacho, ni kama washabiki wa Yanga wabavyolalamika Aziz Ki ameshuka kiwango
Ndio maana nimekwambia una uelewa mdogo sana kwenye soka, mmekaririshwa na wachambuzi uchwara kuwa "class is permanent" bila kuangalia factors nyingine,msimu ulioisha Simba walikuwa na wachezaji wa class ya juu kuliko Yanga lakini matokeo yake msimu uliishaje?Nitajie wachezaji wa Yanga waliokuwa na class ya juu kuwashinda Kapombe,Shabalala,Inonga,Ngoma,Saido,Chama na Miquisone?Baca,Job,Pacome,Azizi Ki na Max wanaifikia class ya hao wachezaji wa Simba niliokutajia hapo juu?Babu class ya wachezaji inabaki pale pale aiondoki,,kuongoza kwa timu yako ligi na hizo clean sheet unazotaja za Camara sijui vitu Gani aiondoi class waliyonayo yanga hapa Tanzania lielewe hilo acha kushupaza shingo,,Icho walichonacho Simba kwa sasa ni form na sio class,,Class ya wachezaji wa yanga utalinganisha na wachezaji wa Simba? Kipa anayedaka first eleven ya timu ya taifa ya mali utamlinganisha na uyo wa guinea?
Na vipi timu yako ni wachezaji wangapi wanaitwa timu za taifa nje ya Tanzania?
Uyo ahou licha ya takwimu zake ebu kafatilie amezipata kwenye timu za aina Gani,,anzia Tabora united, fountain gate na zilizofata utapata majibu kwamba ni mchezaji wa kawaida sana!
Nafikiri umeshaufunga mjadala umekiri mwenyewe kwamba Camara Yuko kwenye form kwa sasa na sio class,,class ndio ubora wenyewe wa wachezaji,,mchezaji anaweza kushuka kiwango lakini aiondoi class yake,,tofauti na form Leo inaweza kuwepo kutokana na mazingira mbalimbali lakini aiwezi kudumu,,na yule mwenye class mda wowote anarudi kwenye ubora wake!Kijana, uwe unasoma vizuri na kuelewa kabla ya kujibu, nimesema Che Malone aliingia kwenye kikosi bora cha wiki cha CAF, maana yake Shirikisho na Klabu Bingwa.Tazama hiki kikosi halafu useme kama Percy Tau anacheza shirikisho.
Ndio maana nakuasa kusoma vizuri kabla ya kujibu,wengi wenu hukurupuka, Matampi alimzidi Diara clean sheets na sio saves, mie nimesema ni kipa yupi aliyemzidi Camara both saves and clean sheets. Ukiwa mkweli utaelewa kuwa form ya diara kwa sasa imeshuka maana magoli anayofungwa ni ya uzembe. Hii inatokana na beckline kushuka ubora, Baca wa msimu huu siye wa msimu uliopita.Sasa wewe kama unaiona Yanga hii ni sawa na msimu uliopita huo utakuwa ni muono wa kishabiki.Ubora wa Ahoua huwezi kuupima kishabiki pia, mie mwenyewe huwa namponda Ahoua kwa sababu najua anaweza kufanya zaidi ya akifanyacho, ni kama washabiki wa Yanga wabavyolalamika Aziz Ki ameshuka kiwango
Mzee hebu acha kutupotezea muda wetu sawa fanya mambo mengine tu unaongea vitu nonsense kabisaNdio maana nimekwambia una uelewa mdogo sana kwenye soka, mmekaririshwa na wachambuzi uchwara kuwa "class is permanent" bila kuangalia factors nyingine,msimu ulioisha Simba walikuwa na wachezaji wa class ya juu kuliko Yanga lakini matokeo yake msimu uliishaje?Nitajie wachezaji wa Yanga waliokuwa na class ya juu kuwashinda Kapombe,Shabalala,Inonga,Ngoma,Saido,Chama na Miquisone?Baca,Job,Pacome,Azizi Ki na Max wanaifikia class ya hao wachezaji wa Simba niliokutajia hapo juu?
Msimu uliopita kuna wachezaji wa Yanga waliokuwa na class ya juu kuwazidi Chama, Saido, Ngoma,Miquison, Inonga, Kapombe na Shabalala? Msimu uliishaje? Ukijibu hili ndio utaelewa kuwa unaweza kuwa kwenye class ya juu but ukazidiwa na timu iliyo kwenye form.Pacome,Max na Aziz Ki wanafikia class ya akina Chama, Saido na Miquisone? Vipi Yao Yao kafika class ya Kapombe? Baca amelikuwa kwenye class ya Inonga?Umeambiwa tofautisha form na class lakini bado unajifanya huelewi kabisa
Sasa CAF si ukicheza labda tuseme mechi mbili kwa ubora hapo si unaingia kwenye kikosi bora cha week,?
Halafu baada ya hapa unavurunda tena
Sisi tunachokwambia yanga sio mbovu kama unavyotaka ila ni swala la form imeshuka tu ila watarudi tena
Yanga hii hii mbovu msimu mmeifunga hata goli la kuotea? Simba si bora sana mbona hamjaifunga yanga mbovu hii?
Unatupotezea muda tu hapa
Yanga wamekuwa kwenye peak kwa misimu minne mfululizo!Ndio maana nimekwambia una uelewa mdogo sana kwenye soka, mmekaririshwa na wachambuzi uchwara kuwa "class is permanent" bila kuangalia factors nyingine,msimu ulioisha Simba walikuwa na wachezaji wa class ya juu kuliko Yanga lakini matokeo yake msimu uliishaje?Nitajie wachezaji wa Yanga waliokuwa na class ya juu kuwashinda Kapombe,Shabalala,Inonga,Ngoma,Saido,Chama na Miquisone?Baca,Job,Pacome,Azizi Ki na Max wanaifikia class ya hao wachezaji wa Simba niliokutajia hapo juu?
Ebu achana nae uyo tunapoteza mda wetu Bure hapa inawezekana ni mangungu mwenyewe anatetea uenyekiti wake na wachezaji wake aliowasajili wa Bei za mafungu!Mzee hebu acha kutupotezea muda wetu sawa fanya mambo mengine tu unaongea vitu nonsense kabisa
Bacca, job, pacome,aziz ki,max wa msimu uliopita ndiyo walizidiwa ubora na hizo takataka kweli?
Hata simba wenzako wakiona hili watakushangaa
Kwanza mwenye lile bango la 7-2 aweke hapa
Ndio maana nimekwambia wewe ni mgumu wa kuelewa,unasoma na kujibu nisichouliza, sijazungumzia ubora. Ukisoma haya majibu yako utaelewa kuwa hujui tofauti kati ya "class" na "form" Soma kwanza kabla ya kujibuMzee hebu acha kutupotezea muda wetu sawa fanya mambo mengine tu unaongea vitu nonsense kabisa
Bacca, job, pacome,aziz ki,max wa msimu uliopita ndiyo walizidiwa ubora na hizo takataka kweli?
Hata simba wenzako wakiona hili watakushangaa
Kwanza mwenye lile bango la 7-2 aweke hapa
Class ni nini kwanza?Msimu uliopita kuna wachezaji wa Yanga waliokuwa na class ya juu kuwazidi Chama, Saido, Ngoma,Miquison, Inonga, Kapombe na Shabalala? Msimu uliishaje? Ukijibu hili ndio utaelewa kuwa unaweza kuwa kwenye class ya juu but ukazidiwa na timu iliyo kwenye form.Pacome,Max na Aziz Ki wanafikia class ya akina Chama, Saido na Miquisone? Vipi Yao Yao kafika class ya Kapombe? Baca amelikuwa kwenye class ya Inonga?
Misimu minne mfululizo na upi? Simba ndio walikuwa kwenye peak misimu minne mfulululizo ndio maana walichukua kombe la ligi misimu minne mfululizo. Wewe ingawa umeanzisha mada but umevamia mjadala wa class na form ambao hata huuwezi maana unadhani unanipinga kumbe unakubaliana nami, mie nimesema ingawa wachezaji wa Simba akina Ngoma, Saido, Chama na Miquisone walikuwa na class ya juu kuliko akina Pacome,Max na Aziz Ki waliokuwa kwenye form but Yanga walikuwa mabingwa.Wewe bila kuelewa umeleta hoja ubora ambao mie sikuzungumziaYanga wamekuwa kwenye peak kwa misimu minne mfululizo!
Yaanj hiyo ndiyo class sasa ina ikawapa mataji yote hayo
Sasa hiyo class ya kina ngoma unayoisemea ilizalisha product gani? Hebu acha mahaba mzee Simba haijawahi kuwa kwenye form misimu minne hii yote na ndiyo maana imefukuza makocha kibao kuliko team nyingi tu hapa nchini
Unajikanyaga sana sanaNdio maana nimekwambia wewe ni mgumu wa kuelewa,unasoma na kujibu nisichouliza, sijazungumzia ubora. Ukisoma haya majibu yako utaelewa kuwa hujui tofauti kati ya "class" na "form" Soma kwanza kabla ya kujibu