Tathmini: ujio wa Mwenda ni sawa, ila lameck lawi hatufai ni bora che malone au makame..!

Hakuna sehemu aliyotaja neno ubora kasema class kwa maana ya daraja.
 
MC ALGER 2 YANGA 0

AL HILAL 2 YANGA 0

TABORA 3 YANGA 0

AZAM 1 YANGA 0

MSIMAMO WA KUNDI LA YANGA KWENYE MICHUANO YA CAF:
1.AL HILAL
2.MC ALGER
3.TP MAZEMBE
4.YANGA.
 
SINGIDA BLACK STARS WANAFANYA USAFI KWA KUTOA MAGARASA YOTE YANAYOONGEZA BUDGET YA TIMU BILA SABABU YA MSINGI WAMEANZA NA MWENDA KITUO KINACHOFUATA NI GUEDE.

YANGA HAWANA HELA YA KUSAILI WACHEZAJI WAZURI NDIO MAANA WANAOKOTEZA WACHEZAJI MAJALALANI KAMA MWENDA AMBAYE HATA SBS TU ANAANZIA BENCHI HANA NAFASI.
 
Sikuwahi kujua we jamaa ni kila hivi aisee
 
Kwa Makame naungana na wewe, Lawi yupo raw sana, hiyo bei ya kukomoana walah
Mimi nawaelewa coastal union,take it or leave it,hawawezi uza mchezaji mwingine Kwa waliopo Kwa bei hio,na mara nyingi hio hela hailipwi yote inakua Kwa instalment/awamu ila lazima utangulize kiasi.
Umri wake bado mdogo sana Kwa beki anamuda wa 10yrs plus mpk aache kucheza.
Mwenda mzuri kwakua kuna akina Faridi watafanya hio kazi
 
Caf hawana kikosi cha wiki kwenye mashindano ya shirikisho, hizo zinazotoa kikosi cha wiki kwenye mashindano ya shirikisho sio CAF wenyewe. Tembelea kurasa zote za CAF kama utakutana na hilo.
 
Caf hawana kikosi cha wiki kwenye mashindano ya shirikisho, hizo zinazotoa kikosi cha wiki kwenye mashindano ya shirikisho sio CAF wenyewe. Tembelea kurasa zote za CAF kama utakutana na hilo.
Hiyo ni kwa mujibu wa African Soccer Zone, ok tuiache hiyo, ni beki gani anaongoza kwa magoli NBC, Che Malone ameiongoza beki ya Simba kuwa imefungwa magoli machache zaidi NBC league, acha yule mwingine aliyeshuka kiwango ambaye timu zimemfanya uchochoro. Siku hizi akizidiwa hana option zaidi ya kuvuta washambuliaji
 

Attachments

  • Screenshot_20241212-150144.png
    828.3 KB · Views: 2
Mwenda alikuwa sio wenu tena
Na malone tutamchukua tukitaka sababu tunabeba mchezaji kama anatufaa hatucheki na wowote sisi
Subirini Kwanza tushibe halafu mje Kula makombo Kama kawaida yenu. Malizeni Kwanza makombo ' Mwenda' mkimaliza mseme, Labda mtapata tumeshiba muambulie makombo mengine!
 
Hiyo takataka sitaki kuisikia, mimi sio muumini saana wa mpira takwimu, nahukumu kwa kile ninachokiona. AHOUA wa takwimu na wa kumuona live ni tofauti mnoo, nilimkataa toka game za mwanzo kabisa wadau wengi wakabisha, siku, zinavyoenda kambi ya kumkubali inapungua pamoja na takwimu zake.
 
Che malon ni beki mbovu kabisa, hana kasi, mzito na hakabi vizuri, Yanga makini haiwezekani kumleta beki wa ovyo kama che malon

Lawi ni mzuri sema Coast union wanataka million 250 ambao ni mkwanja mrefu

Huyo Makame ndo iyo kabisa
Ni kweli kwa sasa ni beki mbovu mno simba wakimwacha atakuja kuwa bonge la beki.
 
Mwenda alikuwa sio wenu tena
Na malone tutamchukua tukitaka sababu tunabeba mchezaji kama anatufaa hatucheki na wowote sisi
Subirini Kwanza tushibe halafu mje Kula makombo Kama kawaida yenu. Malizeni Kwanza makombo ' Mwenda' mkimaliza mseme, Labda mtapata tumeshiba muambulie makombo mengine!
 
Che malon amekuja vp tena apo,

Yaani mnaota hadi mchana wa jua kali? Malaria mbaya sana
 
Kusema kwamba Yanga imempa ofa nzuri Che Malone sio kweli. Na kama ni kweli, basi kama unaisifia Yanga bali unaiangamiza kwa maana itakuwa imevunja Sheria kwa kuongea na mchezaji mwenye mkataba wa zaidi ya miezi sita!

Lakini sishangai kwa Yanga kufanya hivyo kwa maana idara yao ya sheria, hata Sheria Ngowi anaweza kuiendesha! Ahahahahaha!!!
 
Msubirieni mpaka mwaka 2030

Subira ileile mliyoitumia kwa Chama itumieni na kwa Che Malone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…