Tathmini: Utani wa mtandaoni kati ya Pro Zelensky vs Pro Putin

kwahiyo kama USA akikosea basi ndo Mataifa mengine yaendelee kukosea ? USA ndo kipimo cha usahihi ? mkiambiwa mnaiabudu USA mnalia lia
Umesoma lakini hujaelewa. Nmesema kelele zinazopigwa Ukraine zipigwe hata akikosea US, zipigwe kwa israel inavyowafanyia wapalestna. Sio kisa US na genge lake kawambia Ukraine ndiko watu wanakufa na nyie wapiga vigelele wake manaanza makelele. Huko kwingine kwani hawafi?
 
1.ni uvamizi .
2.alishavamia pia nchi nyingine eg Georgia.
3.Kuna taratibu za kuingia nchi iliyo huru kiutawala , kiuchumi na kisiasa.
4.Alishauriwa sana kusitisha uvamizi ndani ya Ukraine ila akavimba bichwa mf Macrom na Karl Nahammer
5.Ukraine ni nchi huru kiutawala inajipangia mambo yake yote ya kiutawala , Urusi sio UN
6.Cuba ? OP
7. USA + Cuba , OP
8.Hata watutsi walilalamika sana ila walishinda at the end na kelele zao ndo alarm ya kuwa walipambana kujitetea ( Ukraine ) na sio kufanya mauaji ya halaiki km wahutu ( Urusi )

ONGEZA MASWALI YENYE UTIMAMU Mrusi wa namtumbo
 
ni nini chanzo cha uvamizi ?
 
Mnasapoti wanaosapoti ushoga SASA mnatofauti gani
ushoga upo kila sehemu na sio tabia km uvutaji bangi bali ni tabia zilizo ndan ya mwili , hata wao wanapenda kuwa km ww ila hormoni zinawapinga so hiyo ni km kilema ss kuwapinga ni sw na wale waliokuwa wanaua albino , hlf kituko mnapinga kwny keyboard hlf mnawatumia au hata mnatumika vyumbani , huo unafiki ndo West hawautaki , ova
 
kwan Urusi nan alimwambia avamie Ukraine ?
 
nchi inayosapoti ushoga ni ipi ?
 
ipo Latvia na Estonia so wangetaka hilo wangefanya kupitia Estonia na Latvia washirika wa NATO , muwe mnafuatilia , Pro Russia wengi wana upeo mfupi
 
una uhakika gan hawajawai kuwaonea huruma ? Pro Russia wana chembe za u imbecils
 
Bado hujatoa sababu ya msingi ya kwa nini Putin kaivamia Ukraine,na wala sitoshangaa kwa sababu sio wewe tu hata watendaji waliopo Kremlin wengi wao hawajaielewa.
 
Bado hujatoa sababu ya msingi ya kwa nini Putin kaivamia Ukraine,na wala sitoshangaa kwa sababu sio wewe tu hata watendaji waliopo Kremlin wengi wao hawajaielewa.
nipo dilemma
Ebu nisaidieni sababu ya uvamizi ni ipi ?
 
heheeee pole MKUU
maana nimecheka kama mazuri kwakweli asee
ila kwa hapo wanayumba sana pro RUSSO wenzangu nawaona wengi wanahio kawaida
ingawaje west wanaunga mkono hayo mambo ila sidhanii kama nihalali kuwabandika wenziwao humu ambao hata hamujuani
Mmoja kati ya Pro Russo wanaohimili joto la mjadala huu bila kuwakwaza wengine kwa lugha za maudhi ni wewe.Kongole kwako.
 
kwan kuna shughuli gan Ukraine anayofanya Mrusi mbali na Uvamiz ?
unajua ili tendo litokee lazima kuwe na sababu iliyosukuma tendo hilo lifanyike. Usiruke kwenye effect tu nataka uniambie hatua kwa hatua hadi uvamizi kutokea.
 
mbona tulikosoa uhusika wa West popote pale mf Libyia , kelele zetu zisingemsaidia Ghadaf km hata umoja wa afrika ( AU ) ulikuwa kimya pia Misri , Algeria na Tunisia zilikuwa training grounds za wasaasi walipanga kumtoa Ghadaf pia huko Iraq umoja wa asia ( ACD ) ulikuwa kimya kipind Iraq inaingia kweny mgogoro na west , pia hata huko Somalia , OAU ilikuwa kimya haikupaza sauti au kuhamasisha waafrika kuungana dhidi ya foreign invasion in Afrika , so naona ni kituko kuwakosoa EU / NATO kwa kujihusisha na Ukraine nchi iliyo kwenye ukanda wao na bara lao , jiulize kwann hawakujisisha (NATO / EU ) na Syria ? walimuacha USA apambane mwenyew huko Syria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…